Did he flee to Canada?

Did he flee to Canada?

It is true 100% of what you said, personally I brought this information in this forum more than a month ago, they deleted the thread as usual. This information was once confirmed by premature imbecile number one of this country.
Uongo una mbio za ajabu. Mbona familia yake ipo Dar. Inasemekana na watu wake wa karibu anamuuguza mwanae ulaya.

Serekali yote inajua alipo,
 
Even if i was him with the battalion amount of monies in my overseas bank accs plus ludicrous administration we have now, i could leave this living hell we call a country for better country worth my presence .

We lots live here coz we have no better options than this!
 
Nimecheki na watu wake wa karibu, inasemekana atakuja kuusimamia uchaguzi 2020, hiyo ndio ahadi waliowekeana ili kujiuzulu kwake ukubaliwe.

Yeye na mkulu mambo yako shwari.
 
I heard rumours about a former secretary of the green party whose essence comes from the horn of Africa,that he fled to Canada with his family after learning conspiracies of faking a treason case on him.
Are these rumours true? it was said that, he made a secret escape, and the unknown men who were appointed to finish him off, came to to learn of his escape and whereabouts as he had already got in Canada and been granted political asylum.
Whoever has genuine information over this matter should kindly share with us.
I submit.

Hana adabu.

Kwanini asingesubiri atumwe India kwenye matibabu?

Watu wengine bhana!!!
 
I heard rumours about a former secretary of the green party whose essence comes from the horn of Africa,that he fled to Canada with his family after learning conspiracies of faking a treason case on him.
Are these rumours true? it was said that, he made a secret escape, and the unknown men who were appointed to finish him off, came to to learn of his escape and whereabouts as he had already got in Canada and been granted political asylum.
Whoever has genuine information over this matter should kindly share with us.
I submit.

REKEBISHA KWENYE RED

1567286739026.png

GENGE LA WAHAINI WA SEREKALI YA JMT, WANASTAHILI ADHABU YA ...
1567287312448.png
 
My son drink water-kunywa maji mwanangu -aliambiagwa shigongo na zhakia meghi alipoenda lumumba kudai hela zake alipokuwa anazungushwa na chama hahah
Lakini mkuu kama ni statment ya mtu huwa inaandikwa hivyo?
 
Kwa Canada ukiwa na account balance ya $100,000 unapata citizenship ya uko, kwa case ya huyo mtu alikuwa na uwezo wa kuwa na hizo pesa na zaidi ya $10million kwenye account yake uko Canada. Hivyo siyo political asylum ni investor wa uko Canada, ndo maana wahindi wengi wanakimbizia pesa zao uko siku likubuma anapanda ndege na kuondoka, wahindi hawajengi hapa wanajenga canada7,UK na India tu. pia huyo comrade familia yake iko uko kitambo hapa alikuwa ana Chuma tu wanyama wetu, pesa zinakuwa transfered from East China, Hong Kong to Canada anapopeleka mzigo ukifika, pesa zilikuwa hazirudi Tanzania. Hivyo account zake zitakuwa zimenona sana uko Canada. Hata USA ukiwa na & 500,000 wanakupa uraia hiyo iko kwenye sheria zao ukiomba unakuwa granted.
Msiba alisema!!! Kama ni hivyo itabidi arudishwe aje azitapike
 
Hapa mkuu unachanganya kati ya permanent residence vs Citizenship.
 
Jamani acheni kumpakazia mwanachama mwaminifu wa chama tawala, CCM, acheni umbeya na majungu kwani huyo comrade ni Kanali(retired Colonel) wa JWTZ, Waziri wa Ulinzi wa Tz. ni mtawala mkuu(Secretary General) wa chama tawala. Kama hayo unayompakazia (Kinana) basi itakuwa Tz hakuna Jeshi la Polisi, Hakuna DCI, hakuna TISS kwani yote hayo yangejulikana. Acheni hayo. Kama kaenda Canada ameenda kusalimia mjomba ambaye ni waziri wa uhamiaji (Canadian Minister of Immigration) wa nchi hiyo
 
bado JK , Tulishawaambia tangu mapema hawa kwamba Mungu hataniwi , watadhalilishwa mpaka wakome , unawezaje kumpa ushindi mtu aliyepata mil 3 unusu ukamuamuacha wa mil 10 ?
Aiseee chalii yangu unakosea Wanoko wanadai alipata laki 9 Wanoko wanaendelea kudai Sundi na Janet hawakumpigia walimpigia Laigwan
 
Let's see,
Do you have any example of your say?

From my experiance, those you talking about are not political refegees, those are criminals runing away from charges done before whilst they in system
Dude are you really serious? Come on meen!
 
Back
Top Bottom