Ni sawa if other factors remain constanthuo ni mpango wa mungu binadamu kuwa ktk umbile lililofikia hapa na hata umri miaka 70 ukiona 100 ni kwa uchache
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
ADAMU ANAKADIRIWA KUWA NA KIMO CHA FUTI TISINIEmbu tuongeze info mkuu..... Hiyo video bado unayo au hata link tusafishe macho
wangetumiaje soda chips na wakati hazikuwepo?Kadri teknolojia inavyoongezeka wanadamu watazidi kudumaa kimaumbo, hata ukichukulia miaka ya zamani watu waliishi kwa kupambana na mazingira wakitumia nguvu nyingi sana hivyo kuwaimarisha miili yao kuwa imara zaidi.
Ndio maana hata umri wa kuishi unazidi kufifia kizazi kwa kizazi,
Lishe duni mfano chips yai, soda, ambapo watu/wa zamani walitumia vyakula vyao vya asili kama asali, nyama, vyakula jamii ya mizizi na matunda pori kwa wingi.
Modern mankind is a weakest creature ever existed!!
Kutokuwepo kwa chips na soda ndo mojawapo ya sababu za wao kuwa giants and strong!!wangetumiaje soda chips na wakati hazikuwepo?
Lakini hawa watu wa aina hii bado wapo sema ni wachache sana mfano kuna movie moja ya Thailand kuna mtu yumo mwenye umbo kubwa sana sio edit ile movie hiyo inahusiana na wizi wa ngombeKhaaaaa😀😀😀
Ni kweli mkuu GREAT KHALI ule mwili duh sio wa kawaida kabisa..... Kuna mmoja pia nlimshuhudia kampala ni bodyguard wa kabaka muteebi mfalme wa baganda duh yule jamaa ni mrefu kma great khali na mwili wake kma the big show.... Anatisha kwa ufupi bado kidogo nikimbie nlihisi mnyama maana anavaa ngozi ya chui!!Lakini hawa watu wa aina hii bado wapo sema ni wachache sana mfano kuna movie moja ya Thailand kuna mtu yumo mwenye umbo kubwa sana sio edit ile movie hiyo inahusiana na wizi wa ngombe
Lakini pia kuna mcheza mieleka anaitwa GREAT KHAL nadhani ni mifano ya watu wa namna hiyo lakini hapa kwetu atakuw yule mfanyakazi wa global publishers jina simjui
Nadhani ukisoma vitabu kadhaa utaona dunia mwanzo ilikuwa ni moja bila kuwepo mabara hivyo ikarahisisha wakazi wake kuhama bila shida kwa kutumia ngamia na punda (vitabu vya dini vimeeleza baadhi ya misafara)ambayo leo ukiona jinsi dunia ilivyo utajiuliza walifikaje kwa usafiri wa punda na ngamia?Mkuu Kudo900 ahsante kwa darasa murua ila kuna vitu vimenishtua kidogo
1. Huyo UJ ambaye maji ya gharika yalimfikia kiunoni ndio yule UJ IBN ANAQ?? Ina maana alipona kwenye gharika??
2. Umegusia suala la dunia kuwa ndogo enzi hizo..... Je kuna ushahidi wa kisayansi kuwa dunia ya karne ya 21 ukilinganisha na karne za kwanza kabisa zinatofautiana size????
Embu tuwekane sawa hapo tuwe pamoja
Nmekusoma mkuu.... Ukiamka uje na nondo zaidi kuhusu huyo UJ BIN ANAQ ambaye maji ya gharika yaliishia kiunoni...... Imenishtua sana hyo storyNadhani ukisoma vitabu kadhaa utaona dunia mwanzo ilikuwa ni moja bila kuwepo mabara hivyo ikarahisisha wakazi wake kuhama bila shida kwa kutumia ngamia na punda (vitabu vya dini vimeeleza baadhi ya misafara)ambayo leo ukiona jinsi dunia ilivyo utajiuliza walifikaje kwa usafiri wa punda na ngamia?
Tunasoma kwamba baadae kulitokea tetemeko lililoigwanya dunia vipande vipande ambavyo leo tunaita Mabara
Kifupi ni kuwa mkiwa eneo moja mtachangia hali ya hewa moja na mtazoea mabadiliko yake lakino ukihama kwenda eneo jingine lazima mwili wako utakabiliana na changamoto
Hivyo basi niseme kwamba wakati dunia inaumbwa ilikuwa moja kabla ya kugawanywa vipande na watu kujitenga kimabara baada ya kupata elimu so nadhani huko ndo kutanuka kwa dunia yaani ilisogea baada ya mpasuko ule tunaoambiwa na wanasayansi wetu
Nadhani umenielewa kama bado basi ngoja usingizi uniishe kesho tuelewashane
Asalaam kudo
Imenivutia sana hii habari ya UJ BIN ANAQNmekusoma mkuu.... Ukiamka uje na nondo zaidi kuhusu huyo UJ BIN ANAQ ambaye maji ya gharika yaliishia kiunoni...... Imenishtua sana hyo story
Nmekusoma mkuu.... Ukiamka uje na nondo zaidi kuhusu huyo UJ BIN ANAQ ambaye maji ya gharika yaliishia kiunoni...... Imenishtua sana hyo story
Duh nashkuru kwa darasa ila kwa upande wangu story ya huyu Unju Bin Unuq nliwahi kusimuliwa kidogo na mtu wa pwani alidai huyu jamaa alikuwa anaishi pwani ya afrika mashariki na ndio aliyemsaidia Nuhu kujenga safina kwa kumletea mbao ngumu kutoka afrika ya kati (DRC ya sasa) maana mashariki ya kati ilikuwa na asili ya jangwa hivyo jamaa alichukua miti huku na kuifanya mbao na kuwapelekea nuhu wajengee safinaHistoria ya UJ ni pana sana tena sana na katika historia hiyo huwezi amini imeanzia Tanzania na ndipo ilipoanza kuonekana lakini kwa sababu tusizozijua historia hii imefichwa na hivyo wengi kuona Uj hakuna anaejua alikotokea.
Uj inaaminika kwamba fuvu lake lipo mexico kwa sababu ni fuvu la mtu mweusi na lilionekana sio la mtu wa kawaida (Giant)
Kwa kuwa ni historia pana juu ya mtu huyu basi kifupi naomba upitie hapa chini nawe waeza kuja nisaidia pale nilipokwama kuhusu mtu huyo ila ukweli ndio huu kwamba historia yake imeanzia hapa Tanzania
Unju bin Unuq (pia: Unju bin Unuku, Unzi Bin Ununuk) ni jina la jitu katika masimulizi ya wakazi wa pwani ya Tanzania. Hadithi zake zasimuliwa kuanzia Bagamoyo hadi Kilwa.
Historia yake inapatikana katika makumbusho ya Kaole huko Bagamoyo.
Moja ya mambo ya ajabu ya mtu huyu ni urefu wake yaani kimo, inasadikiwa alikuwa na urefu mkubwa ulioweza kumfanya atembee baharini na miguu yake kugusa chini.
Pia alikuwa akitembea kutoka nchi hadi nchi kutokana na urefu wake. Inasimuliwa kuwa moja kati ya nyayo zake inapatikana kwenye jiwe alilokanyaga huko Tabora, Tanzania, wayo wa mguu wa kushoto wakati wayo wa mguu wa kulia ulionekana kwenye jiwe alilokanyaga huko Kongo.
Inasimuliwa pia akitaka kula alikuwa akichukua samaki baharini kwa mkono na kuchoma katika jua kisha anakula.
Kuhusu maisha yake inasimuliwa kuwa Unju bin Unuk hakuoa wala kuolewa kutokana na umbo lake.
Sehemu nyingine ya hadithi yake ni alipokufa Unju bin Unuq, aligawanyika vipandevipande kutokana na urefu wake na inasemekana kidole chake chenye urefu wa kilometa moja kasoro ndicho kilichopatikana na kuzikwa pale Bagamoyo, lakini hakuna simulizi mwili wake uliobaki uliangukia wapi.
Unju bin Unuq alikuwa na ndugu yake aliyejulikana kama Geofrey bin Unuk, huyu alipatikana maeneo ya Dodoma. Au kwamba Unuq baada ya kupotea kwa muda wa miaka mingi ndugu zake wa mbali sana wameonekana katika mkoa wa Dodoma.
Asili ya jina la Unju bin Unuq katika Uarabuni na BibliaEdit
Jina lake linatokana na Kiarabu cUdj bin Unuq / ‘Anaq عوج بن عنق anayejulikana katika visa vya nchi nyingi za Uislamu kama jitu kubwa sana. Waislamu walipokea hadithi kutoka kwa Wayahudi anakojulikana kwa jina la Og עוֹג.
Asili kabisa ni taarifa za Biblia kuhusu mapigano kati ya Wanaisraeli waliotoka Misri na Ogu mfalme wa Bashani (Hesabu 21,33)[1]; Wanaisraeli walimshinda wakiongozwa na Musa.
Ogu alisemekana kuwa mtu mrefu; Kumbukumbu la Torati 3,11 kinamtaja hivi: "aliyesalia katika mabaki ya Warefai ni Ogu pekee, mfalme wa Bashani; tazama, kitanda chake kilikuwa kitanda cha chuma; kitanda hicho je! Hakiko Raba kwa wana wa Amoni? Urefu wake ulikuwa ni mikono kenda, na upana wake mikono minne, kwa mfano wa mkono wa mtu".
Katika masimulizi ya Wayahudi tabia hii iliendelea kuongezeka; katika Kitabu cha Amosi 2,9 anatajwa (bila kusema jina) kama "Mwamori" "nalimwangamiza Mwamori mbele yao, ambaye urefu wake ulikuwa kama urefu wa mierezi, tena alikuwa na nguvu kama mialoni".
Wataalamu Wayahudi wa baadaye waliona ya kwamba vipimo vya Kumb. 3 kuhusu kitanda chake chenye urefu wa mikono yaani dhiraa 10, sawa na mita 4-5, vilihusu mkono wa hilo jitu lenyewe, hivyo walimwona mkubwa zaidi tena.
Kwenye kitabu Berakhot cha Talmudi Ogu anasimuliwa ya kwamba aliweza kuinua mlima aliotaka kurusha dhidi ya Wanaisraeli, lakini Mungu alimzuia[2]. Katika kitabu cha Nidah katika Talmudi Ogu anasemekana ni mtu aliyeishi kabla ya gharika ya Nuhu akiwa ni mmoja wa hao ambao walitunzwa.[3]
Katika UislamuEdit
Masimulizi ya Kiyahudi yalipokewa na Waislamu na kupanuliwa tena. Ushahidi uko kwa Al Tabari aliyeandika ya kwamba maiti ya cUdj ilikuwa kama daraja juu ya mto Naili.
Al-Thaclabi aliandika ya kwamba cUdj alikuwa na urefu wa dhiraa 23,333 akiweza kunywa kwenye mawingu, kushika ngumi baharini na kuichoma kwenye Jua. Alitembea mbele ya Nuhu wakati wa gharika kuu lakini maji yalifikia magoti yake tu. Aliishi miaka 36,000. Alipoona kambi la Wanaisraeli na Musa alivunja mlima akashika kipande cha kuangamiza kambi lote kwa pigo moja, lakini Mungu alituma ndege waliokula shimo katikati ya mlima uliomuangukia na kumfunga katikati. Hivi Musa aliweza kumshinda kirahisi
Hii ni picha iliopigwa huko Mexico miongo kadhaa nyuma
Asalaam kudo
wewe pia ni roho unayeishi ndani ya mwili.
Mimi msomaji na najifunza hapa kutoka kwenu..........!Mkuu malcolm Lumumba a 4-word comment? That's not you!! Usitutanie kabisa 😀😀...... We expected an essay from you not a "compliment"