Did CHADEMA really say No Reforms No Elections, or No Reforms No Erection, implying they will strive to make the ruling party politically impotent?

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
14,176
Reaction score
25,919
Tangu Lissu asemekane kuja na msimamo wa Chadema wa No Reforms No Elections, nimeona CCM wakihaha huku na huku kujaribu kupinga hili kwa nguvu zote. Hata hivyo, taratibu Watanzania wameanza kukichukia chama tawala cha CCM kutokana na matendo yake yanayozidi kufunuliwa kutokana na msimamo huu wa Chadema wa NRNE.

Imefikia kiasi najiuliza, hivi Tundu Lissu alisema No Reforms No Election au No Reform No Erection for CCM, akimaanisha Chadema watajitahidi kuhakikisha CCM imehasiwa ili isiwe na mvuto tena kwa wananchi au kuwa productive?

Is it No Reforms No Elections for all Tanzanians, or No Reforms No Erection (political) for CCM?
 
Pumbavu!
 
All of the Above are true
 
Haa🤪🤪

CHADEMA of Tundu Lissu has made CCM impotent, they can't erect their penises anymore..😛

Wooh, that's too bad for them...
 
Tangu Lissu asemekane kuja na msimamo wa Chadema wa No Reforms No Elections, nimeona CCM wakihaha huku na huku kujaribu kupinga hili kwa nguvu zote. Hata hivyo, taratibu Watanzania wameanza kukichukia chama tawala cha CCM kutokana na matendo yake yanayozidi kufunuliwa kutokana na msimamo huu wa Chadema wa NRNE.

Imefikia kiasi najiuliza, hivi Tundu Lissu alisema No Reforms No Election au No Reform No Erection for CCM, akimaanisha Chadema watajitahidi kuhakikisha CCM imehasiwa ili isiwe na mvuto tena kwa wananchi au kuwa productive?

Is it No Reforms No Elections for all Tanzanians, or No Reforms No Erection (political) for CCM?
Strategists wa Chadema wanashida. Ni wazuri katika kuibua kauli mbiu lkn mara zote haziwapi matokeo chanya. Ningewaona wana maana kama wangepambana ku grab viti vingi vya ubunge na udiwani then waanzishe michakato ya hizo reforms
Wakiwa already wamejenga platforms nzuri
 
Hujui Dunia wewe ,viti vya ubunge katika Mzingira gani, mara kumi chadema kutoingia kwenye uchaguzi wa namna hii hata kwa miaka 20 next ,
 
S

Weka katika kumbukumbu zako kunako uhai tutafutane baada ya miaka 5. Bila ya uwakilishi wa aina yoyote hakutakuwa na chadema in 5 years. Na kama kikiwepo kitakuwa taabani kama TLP, Chauma etc
 
Mnajidanganya sana wananchi kabla ya chadema walishakata tamaa ya kupiga kura mara ya mwisho watanzania kua na mood ya kupiga kura 2015 ndo kidogo wananchi wengi walijitokeza kutokana Upinzani uliokuepo kati ya CCM na Chadema au ukawa kutokana na wagombea na Ushawi wao. Baada ya hapo wananchi waliapungua sana kupiga kura sasa hii ya No reforms no Election mbaya sana Chadema wakisema msijitokeze kupiga kura CCM itashinda ila itakua ni serikalini ambayo haijaguliwa na watu wengi so hata CCM wakisema tumeshinda kwa 80% wakati wananchi wengi hawajajitokeza kupiga kura itakua ni kichekesho Kiufi sisi Wana CCM tunajitambua tunaitaji Chadema aingie dimbani tupate kusema hata tumeshinda kwa 60 % italeta maana
 
Kwani wakati wa Hayati Magufuli uchaguzi ulikuaaje?
 
Tangu Lissu asemekane kuja na msimamo wa Chadema wa No Reforms No Elections, nimeona CCM wakihaha huku na huku kujaribu kupinga hili kwa nguvu zote. Hata hivyo, taratibu Watanzania wameanza kukichukia chama tawala cha CCM kutokana na matendo yake yanayozidi kufunuliwa kutokana na msimamo huu wa Chadema wa NRNE.

Imefikia kiasi najiuliza, hivi Tundu Lissu alisema No Reforms No Election au No Reform No Erection for CCM, akimaanisha Chadema watajitahidi kuhakikisha CCM imehasiwa ili isiwe na mvuto tena kwa wananchi au kuwa productive?

Is it No Reforms No Elections for all Tanzanians, or No Reforms No Erection (political) for CCM?
Both of them.
 
Back
Top Bottom