Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Nesi hatakuwa ni mweusi, wazungu wanasua sua kwenye hizo kazi ingawa kuna pesa na realible.
mkuu wazungu wengi ndio wamerudi kwenye hii kazi hasa baada ya kampeni ya serikali kubinya fedha za kujikimu.
 
So who do you think will remove ccm regime if your not among the changers.
keep on waiting man... we gonna do it for you…!! u just stay there and relax okey…?
 
Wakuu, Shemeji yenu ni mzungu NA anaongea kiswahili kidogo.

Yeye ni nesi anaeshughulika na watoto wachanga.
Paediatric nurse wengi ni wazungu weusi wengi hawapendi uko kwa sababu ya sheria nyingi na malalamiko. lakini Mental na kazi nyingine za Hospitali wengi ni weusi hata Ward managers unaweza kukuta wazaliwa wa afrika tofauti na kazi nyingine kama kwenye maduka na mahotelini.
 
utoke mamtoni ulete nguvu kazi ya kujenga kiwanda bongo?!
 
Hawana lolote hao! Wanazeeka na vibarua ughaibuni! Hawataweza kuwekeza hata kwenye bajaj! Wakirudi home wanadata maana hela alizonazo ndio magari ya mshikaji wake aliemuacha hapa bongo 10yrs....wanageuza mbio! Wakisema mitaji wana maanisha 10,000$ hawajui hiyo hata Rav 4 hujapata.....! Watuachie nchi yetu wao walikimbia wanataka uraia ulaya! Waendelee tu!
 
Africa uwa unarudi lakini kuangalia fursa?

Siwezi kuwa more open NA specific lakini Kuna maeneo tayari nimeanza kuwekeza. Nilipoonana NA watu Kama Masanja ndio akanipa moyo zaidi.

Sekta ya kilimo ndio nzuri Sana kwa.kuanzia.

Nyingine Ni sekta ya huduma ambayo ndiyo nasuka kwa sasa.
 
mkuu wazungu wengi ndio wamerudi kwenye hii kazi hasa baada ya kampeni ya serikali kubinya fedha za kujikimu.
Okay.
Ni muda sana sijatembelea Europe na inawezekana mambo mengi yamebadilika.
 

Mkuu, Mimi najitahidi nikifika 50 basi niache shughuli zote Ulaya nirudi Afrika NA niendeleze libeneke.

Tayari nna pesa ya Fuso ntaipeleka Mikoani nasikia Mbeya bado chakula nipo.

Pia naangalia uwezekano wa kuwa na duka la.mfano mahala fulani bongo.

Na fuso hili ntaliendesha mwenyewe NA makonda wasaidizi wawili watatu.

***** cc: Copenhagen
 
Siwezi kuwa more open NA specific lakini Kuna maeneo tayari nimeanza kuwekeza. Nilipoonana NA watu Kama Masanja ndio akanipa moyo zaidi.

Sekta ya kilimo ndio nzuri Sana kwa.kuanzia.

Nyingine Ni sekta ya huduma ambayo ndiyo nasuka kwa sasa.
Najua uwezi fanya hivyo kwenye forum.

Kila la heri Allah akufanyie wepesi kwenye mipango yako Africa bado kuna nafasi ya kuwa tajiri.

Ulaya utakuwa una maisha ya kati afya nzuri watoto wanasoma lakini kufanya kazi kuwa tajiri inaitaji time sana labda uwe mwanamuziki au mwanamichezo au ushinde Lottery.

Tujifunze kutoka kwa wahindi wana connection baina ya Ulaya na Africa au US wanatumia fursa zilizipo.
 
Jichange sa uwe na cash ya kutosh ukija uta catch up faster! Ukiweza kupata hizo fuso 2 hivi then pia uw na kitu kingine kidogo ch kupata 10,000 kwa siku wakati fuso zinakimbiza Dar Mikoani!! Unaishi bila shida!Jipange na uwe na lengo lako ukiwa n dola 40,000 sio mbaya kuja kuanzia na fuso zako 2.....
 

Amina Amina Mkuu, hawa ndio wamenifundisha namna mbalimbali za kutoka kimaisha Ni watu welevu Sana.
 

Acha kukatisha tama vijana wanaotaka kwenda kutafuta maisha ughaibuni, kama Visa ilibuma au ulipigwa deportation sema ukweli..ukiona mtu kajiachia achomwe au asizikiwe bongo ni yy kataka tuu.. ma life insurance ya kucover cost za mazishi yako cheap sana huko ni sawa na pesa ya hapa bongo ya kununulia maandazi asubuhi..wabongo tuna wivu sana sana, kuna vijana wametoka familia za kimaskini wanataka kwenda ughaibuni kutafuta maisha mijitu kama wewe inawakatisha tamaa kuhusu maisha ya huko..acha wivu kaka.
 
Ila tukirudi kwenye point ya mleta mada, ni kwamba inabidi serikali ya sasa iwashirikishe madiaspora katika uwekezaji, ufufuaji na hata nguvukazi.

Hata hivyo bado madiaspora wanaweza kusaidia kujenga na kuimarisha uchumi wa Tanzania kwa kutumia ujuzi wao kwa kutumia idara ya diaspora ambayo ilianzishwa chini ya ofisi ya waziri mkuu?

Je idara hii imeshia wapi?
 
Nyie hata mwenzenu akifa huko kumsafirisha tu ni shida sembuse viwanda?
 

Nimekupatapata mkuu.

Hizo paundi 28000 hivi na ushei sio mbaya.

Tshs?
 
Nyie hata mwenzenu akifa huko kumsafirisha tu ni shida sembuse viwanda?

Lakini ukiangalia sana mtu Kama alikuwa na kazi yake nzuri, bima ya maisha(sio ya kazi) na akiba ya kutosha benki, akifa huwa hakuna haja ya mchango.

Wanaochangiwa ni wale ambao hawakuwa na maisha ya kawaida au haieleweki akazikwe wapi kutokana NA aina ya maisha aliyoishi.
 
Mkuu nimwonee wivu mtu anayeosha vyombo vya mzungu?

Nimwonee wivu mtu anayechambisha wazee wa kizungu?

Mimi nimempa changamoto anaweza kutengeneza pesa nzuri zaidi ya hiyo tena kwa kufanya shughuli yenye heshima ya uzalishaji huku ukiwa nyumbani unaishi kwa amani.

Mimi nimesoma huko so sioni kwa nini mnapenda kudanganya watu ilihali msoto wa huko unawazeesha hamna kitu. Kama ni maghorofa, malls, clubs nk hizo ni za wazungu kwenu ni huku kwenye vumbi na hela ipo nyingi sana huku. Heshima ya diaspora imepotea sababu mtu anategemea wa diaspora atakuwa ana maisha mazuri ila mkirudi mnaonekana mnajitutumua pesa hamna mmebakiza kujitambia kingereza na majina ya perfume, designers na mitaa ya ughaibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…