Nakutakia kila la kheri katika malezi bora ya watt wako,naamini hawatafuata ujinga na mambo ya ajabu ajabu ya dunia ya kwanza...
aliyenileta ni mzung ila tuliachana longtime na castody ya dogo kunyimwa. Alikomaa niwe deported. Nami nikawa mgum. Kwa iyo niko free. Kuna waqat tu bills ziliniandama maamae yani invoices zilikuwa zinakuja dah ila nilifait mwaka mmoja had nikamaliza maden. Hakuna kitu naogopa kama bills zikiwa nyingShemeji yetu ni mtanzania au mzungu?
Kama mzungu angalia sana Child support payments mkizinguna.
Utajikuta mweupe.
Uwekezaji? Milango imefunguliwa kwa kila analiyetayari kuwekeza nchini Tanzania. Sioni rationale ya kutaka/kupewa special treatment.Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.
They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.
mkuu ritz mimi nafanya kazi tatu. Kaaz ya kwanza Naanza alfajir saa 11 namaliza saa 3 (masaa manne) kufagia supermarket usidhan natumia chelewa au fatuma ni mashine mkuu.
Nikimaliza faster nawahi treni kuingia kwenye mzigo mwengine maamae kuosha vyombo (the best job I like) wamenipachika the best dishwasher in Europe maamae kwasabab navyopiga vyombo kwa utaalam wakipekee ni restaurant ndan ya kampun flan tunahudimia 800+ customers maamae hapo napiga masaa sita maamae 10am to 16:00.
16:00 to 18:00 ninazuga center tu au sometimes nazuka ghetto. 18:00 to 23:00 naenda kusafisha gerej ya matrack ni kaz ya masaa 5 mimi maamae nakupigia manne sometimes matat na nus hasa sasa hiv summer si kuchaf sana winter balaa. Halaf kwenye hii kaz unaweza kuondoka kabla ya mda wake as long umetimiza wajib
Mkuu kila.kitu Ni kumtanguliza Mungu mbele NA bila yeye sisi sio kitu.
Mkuu, Kuna kipindi nilikaa Europe kwa muda mfupi na niliona watu wanavyofanya kazi masaa mengi na wengi wao ni West African. Mtu analiza Night shift 20:30 - 07:30 anaenda moja kwa moja kwenye permanent kazi yake ya day shift, 08:30 - 17:30. Hayo ni masaa 18 kwa siku. Kazi ya usiku labda ni part time nani flexible anafanya mara tatu au nne kwa week.Acha kudanganya watu wewe,hayo masaa 14 mpka 15 unafanyaje kwa siku heee???
Mkuu, Kuna kipindi nilikaa Europe kwa muda mfupi na niliona watu wanavyofanya kazi masaa mengi na wengi wao ni West African. Mtu analiza Night shift 20:30 - 07:30 anaenda moja kwa moja kwenye permanent kazi yake ya day shift, 08:30 - 17:30. Hayo ni masaa 18 kwa siku labda ni part time nani flexible anafanya mara tatu au nne kwa week.
Ww mtu jasiri sanaaaaa,kuna watu huwa hawaongei kweli aise,courage sanaaaaa bro
After a divorce, it’s common to forget that alimony and child support will affect your taxes, endelea kukomaa isije kuwa unajibana halafu ikifika wakati wa Summer Time unakwenda kujirusha Spain unakula pesa yako yote ya box.aliyenileta ni mzung ila tuliachana longtime na castody ya dogo kunyimwa. Alikomaa niwe deported. Nami nikawa mgum. Kwa iyo niko free. Kuna waqat tu bills ziliniandama maamae yani invoices zilikuwa zinakuja dah ila nilifait mwaka mmoja had nikamaliza maden. Hakuna kitu naogopa kama bills zikiwa nying
Shemeji yetu ni mtanzania au mzungu?
Kama mzungu angalia sana Child support payments mkizinguna.
Utajikuta mweupe.
Alizamia me..yaani uko ulaya halafu unaandika pumba namna hii:
Noja nikuorodheshee kazi ambazo zinalipa kwa haraka Ulaya bila longolongo.
Kuosha vyombo mahotelini
Kufanya usafi
kibarua kwenye ujenzi
kutunza wazee
Uangalizi kwa wenye mtindio wa ubongo NA wale wenye matatizo ya akili. Hapo unafukuzia paundi 10 hadi 15 kwa saa ukipata Ile ya uhakika zaidi.
maboski kwenye mabohari hapa inaanzia paundi 9 hadi 12 kwa saa.
Ufundi magari, computers
usaidizi madukani
ufundi wa magari, computers NA vifaa vingine vya umeme.
Udereva wa malori
udereva wa taxi hapa unapata hadi paundi mia sita kwa wiki.
hizi Ni baadhi Tu ya kazi nyingi ambazo wana diaspora wanazipiga.
Nesi hatakuwa ni mweusi, wazungu wanasua sua kwenye hizo kazi ingawa kuna pesa na realible.Shemeji yetu ni mtanzania au mzungu?
Kama mzungu angalia sana Child support payments mkizinguna.
Utajikuta mweupe.
hii ya vyombo siku ya kwanza ukionyesha ujuzi wa kupindua sahani NA mabakuli kwa kasi ya sahani nne kwa dakika moja unapewa permanent job hapohapo NA unakuwa NA uhakika wa shifsLakini hizo kaz ungekuwa tz usingefanya,kama sisi wana Dar unifanyishi kaz ya kuosha vyombo hata siku moja,Lakin kwa sababu upo mbele unaona kawaida sanaaaaa,Sema ndo hivyo kila la mtu na maisha yake na chaguo lake katika maisha,kama wanavyosema kaz ni kaz
Naijua mnafanya makubaliano kabla ya kufunga ndoa au kuishi pamoja na kwenye masuala mengine sasa hivi Marekani kila mtu anakimbilia kwenye aprenuptial agreement, antenuptial agreement.Ndio maana nilifanya kazi Sana kabla Ili kuwa NA insurance.
Halafu Kuna kitu kinaitwa pre nuptial agreement, unafahamu hii kitu?
Nesi hatakuwa ni mweusi, wazungu wanasua sua kwenye hizo kazi ingawa kuna pesa na realible.
Nyie kama diaspora sio mpaka muitwe mshirikishwe... mnatakiwa myamue wenyewe kama watanzania kuonesha umuhimu wenu kwa taifa kupitia uzoefu wenu na ujuzi mbalimbali mlionao.Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.
They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.