Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Wewe juzi Kati ulikuja hapa na Uzi ukitaka tukuombee kwa kuwa eti Kuna mjane mmoja ambae Ni bibi Ana hela Sana sasa ukatamani uwe nae kimahusiano ili utusue kimaisha? Kwendraaaaaaa
Bado hajajib mkuu. Angejibu email yangu tena mnadhan mngekuwa na aman humu maamae. Nani hapendi Kuwa milionea wewe. Wee ngoja nizikamate
 
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma
Nyie endeleeni kutawaza wazee tu huko,inawezekana hata nauli ya kuja bongo huna
 
Duh,mkuu umetisha kwa inglishi.inglishi yako ni ya levo ya juu mno hata malkia elizabeti hafui dafu.wewe ni dayasipora mbobevu wa lugha ya ughaibuni.hongera sana.
Cha ajab mkuu English nimejifunza kwa bidii binafs
 
Bado mnajidanganya sana ndiyo maana mkifanikiwa kupata nauli mkija mkuu mnakimbia watu coz hamuamini mnachokikuta kwa homeboys mliowaacha.
hahaha mkuu bana. Mimi siish kwa kushindana nina malengo yangu binafs. Mzee wetu magu kawabana na anawatumbua mijipu yenu kwel kwel sasa hiv sasa tuone hizo tambo zenu mtazitoa wapi kwa kipato halal.
 

Ni moja ya nguzo sawa, ila ni kwa Diaspora wachache sana, wengi wao ni kula ma good time tu huko, hand to mouth living, kununua raba mtoni, marashi, b'day parties za hapa na pale, kuchoma BBQ summer time baadae kuzipost kwenye mitandao, kama sio kudhalilishwa na wazungu au wahindi, ndio huko ubaguzi hautakufa, sasa mtakuwa mnaishi hivyo mpaka lini?! Tuna ndugu na jamaa kibao, wamezikwa huko huko sababu bakuli lilikuwa dog. Kama kweli mna nia ya kuleta hayo maendeleo njooni, ardhi bado ipo tele, opportunities lukuki, swala uamue sasa wakati unazo hizo nguvu na sio baadae wakati mzungu ashauchosha huo mwili, otherwise ishieni kugonga time cards tu...
 

Ni moja ya nguzo sawa, ila ni kwa Diaspora wachache sana, wengi wao ni kula ma good time tu huko, hand to mouth living, kununua raba mtoni, marashi, b'day parties za hapa na pale, kuchoma BBQ summer time baadae kuzipost kwenye mitandao. Kila kukicha kudhalilishwa na wazungu au wahindi, ndio, huko ubaguzi hautakufa, sasa mtakuwa mnaishi hivyo mpaka lini?! Tuna ndugu na jamaa kibao, wamezikwa huko huko sababu bakuli lilikuwa dogo. Kama kweli mna nia ya kuleta hayo maendeleo njooni, ardhi bado ipo tele, opportunities lukuki, swala uamue sasa wakati unazo hizo nguvu na sio baadae wakati mzungu ashauchosha huo mwili, otherwise ishieni kugonga time cards tu...
 
Diaspora tupo tayari wakati wowote titakapo hitajika
 
Wanaudhi sana na kejeli zao wakati kuna wala vumbi wanaishi vizuri kuliko mdiaspora alieshi ughaibuni miaka 20
 

acha siasa, mbona wengine wanawekeza? mazingira gani unayoyahitaji
 
Scandinavian countries kuna kodi kubwa lakini malipo ni makubwa vile vile. Sijaona sehemu nzuri ya kuishi kama scandnavian countries. Sweden Norway Denmark nchi za maziwa na asali hizo. I stayed in Sweden and in UK. Can see the difference. Mkuu endelea kuzichanga. Kama umebahatika kushare apartment basi najua utakua unatengeneza hela ya maana sana hapo Denmark. wako vizuri saaana.
 
Kumbe kawaida sana! Kodi 36% Chakula %? Gheto %? Huduma za kijamii %? n una save %?
 
Bila shaka wewe ni product ya Ras Simba. Unavyoshuka essay bila kuweka comma...
 
Bado hajajib mkuu. Angejibu email yangu tena mnadhan mngekuwa na aman humu maamae. Nani hapendi Kuwa milionea wewe. Wee ngoja nizikamate

Mkuu, Copenhagen piga mzigo zichange tu wakti ndio huu.

Kuna wakati heshima itarudi kwa madiaspora wakianza kutia timu Tanzania kijumla.

Unafahamu sasa hivi kuna madiaspora kama sisi bado tunalea watoto, na wakiishakua tu basi tunawaachia walipe mortgage ya huku na sisi turudi tukafaidi hizo Euro huko Bongo.

Ni lazima kutesa iwe kwa zamu.

Na kuna watu watashangaa sana kuanzia mwaka huu.

Halafu mkuu Copenhagen kama hujaanza kutafuta mwenza uwaangalie sana hao vidosho wa hapo kwako, maana kuna wengine ukianza nao wanabana mno kuhusu Euro, unatakiwa uwe "smart".

Kama unapenda kuchanganya, ukitaka wadada wa ku-settle nae tafuta pande ya East kama shemeji yako hasa wa Latvia na Estonia.

Wao nao kiingereza chao ni kama wanajifunza na akikukuta unatema ung'eng'e mzuri anakukubali, maana utamsaidia mambo mengi kama shule.
 
Diaspora ndio suluhu ya Tanzania ya Viwanda

Mkuu mimi nina wazo la kujenga kiwanda cha juisi pale Lushoto lakini tatizo ni mbia wa maana nawafikiria wachina.

Ukijenga kiwanda Lushoto, utaajiri watanzania, utalipa kodi na utaneemesha maisha ya watanzania.
 
Kazi unazofanya huko Denmark ni kazi za hovyo hovyo kama kukusanya mayai ya kuku, kutandika vitanda vya mahoteli, kubeba mabox ya mizigo viwandani.

Sasa hayo mamilioni ya fedha ya kuja kuwekeza kwenye mashamba na mabenki utayapata wapi kwenye kupanga biscuit supermarket.

Labda uje kufungua kibanda cha Tigo Pesa.
 
Mkuu, which conditions you need to prevail but by the time they are not there?
 
Napata shida na kujiuliza inakuwaje diaspora washindwe kuchanga usd 6000? Kama usd 6000 ni tabu hivyo viwanda vinavyocost millions of $ itakuwaje?
 
Angalia akili zenu zinafanana hamna exposure wala vision pamoja na kuishi Ulaya.

Bahati nzuri Ulaya napajua hamna wa kunidanganya, sasa nyie bado mnafundishana kutafuta wanawake wa kizungu na kigezo chenu kukuu ni kujua kingereza vizuri daah! hamuangalii hata future.

Mtaishia kuzaaa na wazungu na kudhulumiwa watoto na kubakia na story tu nina watoto watatu mmoja yupo Spain mwingine Sweden na mwingine yupo Holland, lakini huna mamlaka nao hao watoto na siyo hata watanzania, nawashauri kama bado mpo Ulaya tafute College msome mpate elimu siyo kutegemea kuja kusaidiwa na wanawake wa kizungu.
 
Dispora wengi wamepata exposure ya Elimu (isiyo na ukakasi) katika vyuo vikuu mashuhuri duniani, pia baadhi wamefanya kazi katika taasisi/kampuni/viwanda bora ulimwenguni tusisahaulike ni TUNU kwa taifa letu MAMA TANZANIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…