Tanzania kuna walipa kodi zaidi ya millioni 40 - mtu mmoja= 39,999,999, kwa nini hawa wasijenge kwa kodi zao? nchi nzima atajenga peke yake?Kivipi? Alitaka nani amjengee kama yeye aliondoka?
Tanzania kuna walipa kodi zaidi ya millioni 40 - mtu mmoja= 39,999,999, kwa nini hawa wasijenge kwa kodi zao? nchi nzima atajenga peke yake?
si nyie mnasema kwa nini yeye aliondoka asijenge nyie ni zip mmejenga?lazima ashangae miaka yot hiyo mnambwela tuHakuna anayemlalamikia kwa lolote, ila yeye ndiyo anayetulaumu, kwa nini Barabara yetuni mbovu na hatujengi?
Mtaani kwenu mpo wa ngapi?Hajatulaumu kwa barabara za nchi nzima, bali amelaumu Barabara ya Mtaani kwetu ambayo aliiacha mbovu kipindi anaondoka na amerudi ameikuta vilevile, sasa ndiyo anatulamu na kutuita wavivu, kwa nini hatubadiliki, alituambia!
Huenda alituma pesa za kujenga barabara zikaelekezwa kwenye meli.Hata mimi nimemwambia hivyo hivyo sasa unarudi basi tunategema baada ya miaka michache hii Barabara itajengwa ili wengine watakaorudi pia wasikulaumu na wewe!
Si umuulize uko naye hukoLakini kwa nini aliondoka?
U-Diaspora ni wakati akiwa New York, amerudi Buguruni sasa hivi aurudie Ubondei wa asili yake ya zamani. Huwezi kuwa na akili ya KILOWEZI in your own MOTHERLAND.Jamaa aliondoka miaka kibao iliyopita kwenda USA, juzi kati karudi akiwa na mipango ya kurudi kimoja, lkn akaanza kushangaa na kutuuliza maswali kwa nini Barabara aliyoiacha mbovu Mtaani kaikuta vile vile mbovu? Akaanza kutushamblia na kututukana kwamba sisi ni wavivu!
Je, alikuwa sawa kutushambulia? Nikamuuliza yeye alivyoondoka alitegemea nani amjengee barabara? Akasema ilikuwa ni lazima aende,...
Dahh,watu mnajazba hatari!!kata povu kwa krest kwanza mkuu.Yaani yeye azamie huko kula kuku sisi ndio kodi zetu zimjengee barabara. Ningekuwa kaniuliza mimi angeambulia kofi. Yeye katoa mchango gani wa kimaendeleo kwenye nchi yake. Hajajitambua kwanza mwache arudi huko aliko zoea kufanyiwa maendeleo amelala.