Huyo zels ya ukweli yanamuingia haswa na anajua kujitetea kama mange. Na hisi ni yeye mwenyewe maana anaonekana zaidi kwenye topic za mange na bidiii zote hadi anataka kubaki bila pumzi.
Different ID's ila ni mtu mmoja anayecomment! Halafu Linda uandishi wako unajulikana wazi mwanzoni nilihisi Mange anakuonea kumbe ni kweli
cc Ms.Lincoln
Sawaa mkubwaa nitakuitia zingifuriii halaf hhhhhaa
If u are a great thinker utanielewa mkuu.
Kenzo anasoma tena sio shule za kijinga, anasoma na watoto wa kizungu tuuu
Mange alizuiwaga kabisa kurudi Us.Nasikia alikua na msala.
Ndiyo kisa cha kujiuza kwa wazungu ili apate tena kibali cha kuingia US tena.
Huu ubuyu upo nusu anaeujua plz...
Hhhhhhaaaaaaaaaaa eeti akijambiwa mdomon atakubalii watu mna manenoo
Yupo kwenye page ya linda anaitetea nyumba ya Mange.
Yani mkiona mtu anamtetea Mange basi ndio mwenyewe, sasa tena nimekuwa kwenye page ya Linda, lol.
Wabongo mkimchukia mtu km sumu na mnataka wote muungane, ikitokea mmoja akasema tofauti na yy atakoma kwa vichambo yani kazi mnayo. Mbaya zaidi mnapenda kutia chumvi vitu
Kwahiyo hiki ndo kinakufunya na wewe uende kutoa mitusi huko? Ikifika jioni kwa hiyo mitusi ukihesabu unakuwa umeingiza shilingi ngapi. Kinachowasumbua wengi wenu ni elimu. Hao mafollower ushuzi hakuna graduate hata mmoja. Yaani na imagine graduate anaamka asubuhi kwenda kutega kama kuna umbea ili aporomoshe mitusii. Wengi ni darasa la saba na form four. Huwezi ukawa na degree ukaandika matusi ya kumdhalilisha mtu ambaye katika maisha yake wala hujawahi kuonana naye zaidi ya kumsikia tu na kumuona kwenye media. Ni ujingaa mnafanya nyie wanawake. :becky:>Ni ujingaa .Akili kubwa hazinaga muda wa kujadili miasha ya mtu ambaye hata kumfahamu humfahamu basi tu sababu umeona amekuzidi unaona kwamba upunguze stress kwa kumdhalilishaNa kweli, walishatamba sana wadada wa mujini wanaojua kutumia pesa vikundi kutwa mara diner kempisk, mara week end mbudya na watoto wao, mara lunch kwa fulani leo ktwa vigroup kama watoto wa primary na vikundi vya rede, leo michambo mtelezo kazi kubwa Eduction is sex, ovyo kube sasa education is EX.
Yani mkiona mtu anamtetea Mange basi ndio mwenyewe, sasa tena nimekuwa kwenye page ya Linda, lol.
Wabongo mkimchukia mtu km sumu na mnataka wote muungane, ikitokea mmoja akasema tofauti na yy atakoma kwa vichambo yani kazi mnayo. Mbaya zaidi mnapenda kutia chumvi vitu
duh eeh MUNGU ninusuruMange, Chaga bibi na the Tzd sweetheart wanakitafuta hiki
Wenzao huwa wana attend cosmetic clinics periodically na si mchezo.