Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,484
anatamani ampake rangi awe mweupe
ila inatia hasira ujue we uko ulaya mmeo ana hela bado unauza nguo na shedo bongo...
kwa nini usifungue duka huko huko mamtoni etiii
halafu dalili ya upathetic,inferior na ujuha ni kutojikubali na kujinasibisha na wengine kujifanya ww km wale
Alafu mwenzake akifanya biashara kama yake anakasirika kabisa na kutukana kama vile hajui hili soko huria.
Mafiii.