Diaspora hawapendani

Diaspora hawapendani

Nyani ngabu japo kwa hasira ila umefunguka vizuri kama bado tunajadili rangi dhahiri kuna watu wanaishi karne ya pili.Sasa sijui huwa anapitapita kuomba chumvi kwa majirani mpaka akagundua eneo lote hilo hakuna nywele ngumu.Mentor of slave ni mbaya kuliko ufukara wa pesa.
 
Acha tu aisee!

Mtu kwenye karne ya 21 bado eti anajigamba sijui mtaa au sijui kishule cha mwanae hakina watu weusi.

As if kama ni ujiko vile watu weusi kutokuwepo.

I mean, Marekani hii ambayo ina mabilionea weusi, mamilionea weusi, ina rais mweusi, ina mawaziri weusi, yenye magavana wa kila aina ya background - weusi, Wahindi, Walatino, wanawake....wabunge wa kila aina ya background na wengine kibao wenye kila aina ya mafanikio kutoka karibu kila pembe ya dunia na rangi za ngozi tofauti tofauti...halafu kumbe kuna watu bado wanaona ujiko sehemu ikiwa na wazungu tupu.

Hahahahaaa...unajua mtu mwenye hata chembe ya akili angejistukia kuandika uppupu kama huo.

Lakini huyu mwenzetu ni juha kama udongo mfinyanzi. Akili yake bado imegota kwenye karne za 18 na 19 huko.

Eti hakuna ngozi nyeusi kwenye hicho kijishule cha mwanae....good grief!

Who really gives a rats ass about skin color anymore? Apparently just her and her jackass white trash of a husband.

Mtu ana binti tena ambaye ni mweusi tiii kaa masizi vile lakini anadiriki kujigamba kwamba sijui kamtaa anakoishi au sijui hicho kijishule cha huyo mwanae hakuna ngozi nyeusi!!!!

Hiyo ni akili kweli?

Sitashangaa kabisa kama hako kabinti anakatendea tofauti na anavyowatendea hao wanae walio machotara.
 
Duh!picha ninayoiona ina maana hata yeye yupo hapo kimakosa maana ni eneo la watu weupe?namkumbuka Nesta marley na kibao cha War ahsante NYANI NGABU.
 
Jumatatu ishafika kamavp futa hii post unajidhalilisha
 
Mtu yupo majuu kutwa kuchwa analia na mafanikio ya wenzie East Africa.
Anasema hamna mtz anayesomesha mtt chini ya miaka mitano ila yeye USA nzima.
Mie nadhan zile sembe alizokua anauza mzee wake na huyu alikia anarambishwa sio bure

Hahaaaa... Labda anawajua wabongo wote wenye watoto wadogo wanaoishi Marekani!. SMH... She is something!.
 
8

Kaah!
Leo umenifurahisha ukinitukana poooa tu sijali.
Sio kwa kichambo hiki!
By the way tako la mange ni kama kiskonzi, ashukuru sana yale matako yake alopandikizwa.

Haaaaa, yule mwanamke ni tatizo, kachonga pua, karekebisha matiti eti yasimame milele, matako nayo kapandikiza, bila shaka hata hiyo sehemu ya kike kesha ichana chana ilingane na ya bhoke haaa mwanamke hajiamini ndio maana chuki haimuishi.
 
Wanawake wanaoishi nje hawatofautiani na wanawake tuliopo tz yaan waswahili balaaaa, lakin hatusikii wanaume wa Huko wakigombana gombana tu ,yaan sijui hawakutegemea kuishi Ulaya ,yaan tabu tupu,
Hongera zake kwa kuudharau weusi ,sie wengine weusi ndio roho zetu ndio zinatukuna balaaa,,,,siku nyingine linaandikaga upuuzi tuu
Huyo linda nae amuache mwenzie kila siku kumsema insta linda nae kazidi uchokozii zamani nilimtetea kanichoshaaa nae
Mi msukuma anapiga box wèeee wala yupo poa tu na marafiki zakeeee ,
 
hahahaaaasa
haloooowwwww
nicheke mie mwl wa primaryyy
niliyefeliii,
niliyeanza chekechea miaka tisa ,niliyezaliwa mtanzania asilia
baba,mama,babu na bibi pyua swahiliiii
ingliiish nkaikuta zanaki kwa mama mramba form oneeee
asante serikali kutujali sie walalahoiiiii
haki ya mama tusingesoma ht shule ya msingiii siee
leo ht jf nisingeijua mieee sijui ningekua sitimbi nalimaaa
haya jamani mnaoishi ulaya hongereni sanaaaa
mie ht BURUNDI sikujui hvyook
sembuse wenzetu mnaishi ULAYAAA,mmeolewa na wazungu,matajiri,mnalipa ma ada ht nifanye kazi miaka laki mshahara km huo mie siupati wa ada ya mtoto mmoja....!!

eehhh MUNGU weee niwekeee mieeeeee ....mja wakoooo
nione ya walimwengu jamani...
nishuhudie watu wanavyoishi maisha ya kwenye TAMTHILA
maskini mieer

Ngoja siku nami nifike maulaya mtanikomaaa humu 😝😝😝😝😝😝😛
 
Wanawake wanaoishi nje hawatofautiani na wanawake tuliopo tz yaan waswahili balaaaa, lakin hatusikii wanaume wa Huko wakigombana gombana tu ,yaan sijui hawakutegemea kuishi Ulaya ,yaan tabu tupu,
Hongera zake kwa kuudharau weusi ,sie wengine weusi ndio roho zetu ndio zinatukuna balaaa,,,,siku nyingine linaandikaga upuuzi tuu
Huyo linda nae amuache mwenzie kila siku kumsema insta linda nae kazidi uchokozii zamani nilimtetea kanichoshaaa nae
Mi msukuma anapiga box wèeee wala yupo poa tu na marafiki zakeeee ,

Nandio maana waTz hatuendelei wenzetu wanaijeria wanabebana kwa kupeana fursa sisi unajisifia sijui nyumba sijui bwanaangu mzungu nonsense
 
Haaaaa, yule mwanamke ni tatizo, kachonga pua, karekebisha matiti eti yasimame milele, matako nayo kapandikiza, bila shaka hata hiyo sehemu ya kike kesha ichana chana ilingane na ya bhoke haaa mwanamke hajiamini ndio maana chuki haimuishi.

Yani huyu mwanamke ni mental case kabisa.
Kwanza kabaya,
Pili kana chuki na miwivu
Tatu ana uahamba fulan usioisha chaaa!
Ni wa kihurumia.
 
Back
Top Bottom