Utakataza mtu asiende kuzika ?
Huu ni usemi wa kijinga mno. Nakumbuka kijijini kwetu kulikuwa na kikundi cha vijana waliokuwa wanachimba kaburi kwenye misiba mbali mbali. Kazi ya kuchima ni ya kujitolea na hufanywa na vijana wa kijiji husika.Diaspora nao wana nyondo sana na wanasahau sisi walio tuacha huku manyovu kigoma ndo wachimba makaburi wao
AsanteePole sana
Hapana haiwezi kubalika
Sasa kumbe ni mmoja inakuwaje useme huwapendi? Wengine wamekukusea nini?Mimi siwezi kucheka msiba lakini siwapendi maana kuna diaspora mmoja alikuja kutoka marekani na vingereza viingi hadi kanibebea sikudhani wangu
Sometimes ni stress tu ndio zinasababisha watu wanabehave hivyo.Hao wachangiaji angalia sehemu wanazoishi, elimu na ajira zao utapata jibu ni kwanini wanaongea hayo.
Tunarudi pale pale, wenye pesa, elimu nzuri na maisha mazuri huwa wana handle stress tofauti na masikini. Unaweza kwenda mapumziko, kubadili muonekano wa nyumba nk.Sometimes ni stress tu ndio zinasababisha watu wanabehave hivyo.
Maskini huwa achukulii stress kama tatizo. Na hapo ndio tatizo linapoanzia.Tunarudi pale pale, wenye pesa, elimu nzuri na maisha mazuri huwa wana handle stress tofauti na masikini. Unaweza kwenda mapumziko, kubadili muonekano wa nyumba nk.