Diaspora amekufa wengine wanachekelea, kwanini?

Diaspora amekufa wengine wanachekelea, kwanini?

Wewe Ni mpunbavu sana Kwani Tz MTU akifa huwa hachangishani,hapo Tz watu wote mnamiliki nyumba na kujenga Ni uamuzi wa mtu,wahindi,wachina na west African wamezagaa Dunia wanamtafuta maisha cha ajabu Tz tunawakashifu walio nje
Mkuu samahani nadhani hapo BBC ndio pamekuamsha munkari. Anyway kazi Ni kazi. Piga kazi hata huku nyumbani sera Ni 'hapa kazi tu'
 
Naunga mkono hoja

Maskini siku zote huwaza aliyejuu aporomoke awe kama yeye amcheke wala hawazi na yeye apande huko huko amfate.
Mh kama ni maneno yanayosemwa mara kwa mara m-diaspora anapofariki hebu wa-diaspora wajiangalie... Sio vibaya kujiandaa kama tunavyojiandaa na kuandika urithi (muanze kujiwekea akiba kidogo kidogo kwa ajili ya kusafirishwa/safirisha - just incase)
 
Wana vyama vyao vya kusaidiana wanapokuwa na matatizo
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Naunga mkono hoja

Maskini siku zote huwaza aliyejuu aporomoke awe kama yeye amcheke wala hawazi na yeye apande huko huko amfate.
Kuna fukara fulani anaitwa witnessj hebu msome comments zake. Sijui kama si mchawi. Kuna connection kubwa kati ya chuki na umasikini.
 
Suluhisho, msiruhusu watu wasio na uhusiano na marehemu kuhudhuria mazishi, iwe kama harusi ambaye hajaalikwa asije, kwani atakayekuja ni yule tu ambaye atakuwa ameguswa, na siyo kila takataka matokeo yake ndiyo hayo.
Hata wewe una wivu na husuda sana!!
 
Hao waliokuwa wanaongea hayo ni umaskini na wivu ndio kitu kinachowatesa. Wasamehe tu
 
Hiyo sio Diaspora tu hata hapa hapa ukitokea Dar ukaenda mkoani tunapotekea utasikia wa Dar hao mara wanajickia au mtu anakuongelesha kishwahili ukimjibu kilugha utasikia kwani bado unakumbukA natamanigi hata kulia [emoji26]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom