Hiyo Ngoma ipo store hataki watu wajueMBONA ALIKIBA KASHIRIKISHWA NA JUSTIN BIEBER HATUSEMI, SIE HATUPENDI SHOW OFFS
Pia nauona wa kawaida tu. Stye ile ile hamu ya kuurudia sina.Wimbo wa kawaida tu,diamond amekuwa wa kawaida sana ashaishiwa na ubunifu popularity tu ndo inambeba
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Pia nauona wa kawaida tu. Stye ile ile hamu ya kuurudia sina.
Nimeshindwa kuupandisha hapa unagoma. Ila naamini wenye ujuzi wataupakia tu
Mkuu huo wimbo huwezi kuurudia kusikiliza,ameshuka sana si kama mwanzo nahisi sasa hivi pale WCB hana combination nzuri wa kushauriana tangu Harmonize atoke,kilichombeba sana ni remix na wasanii wanaojua,nadhani kimziki anaanza kutoka kwenye pick labda aje na kitu kipya au style tofauti
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Kwaiyo kwa uwezo wako wa kufikiri una taka kusema harmonize ndo ana waandikia nyimbo au..na adi sasa harmonize kaandika ngoma gani ya kutisha
Hana pesa za colabo we mtafute davido afu mwambie nataka tutor ngoma utaambiwa weka chin million 500 sasa kibamia ataitoa wapWrite your reply...kiba hataki kufanya kolabo na wasanii wa nje sababu hapendagi show off yaani kama unajua unajua tu jamaa ni balaa
ndo maana jay z alimsifia ye ni balaa sema hakutaka watu wajue