Diamond Platnumz amzawadia Diara milioni 10

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Hongela sana CEO diamond kwa kutimiza ahadi yako ya kutoa motisha kwa kipa wa Yanga Diara.

Sijui ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania badilisheni wenyewe.
---
1685969224805.png
Mkurugenzi wa Wasafi Media Naseeb Abdul Diamond Platnumz ametimiza ahadi yake ya kumkabidhi zawadi mlinda mlango wa klabu ya Yanga Djigui Diarra.

Diamond alitoa ahadi hiyo wakati klabu ya Yanga ikichuana na USM Alger katika mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho ambapo katika mchezo huo Golikipa huyo aliondoka na Tuzo ya Mchezaji bora wa Mechi.

Diamond amemkabidhi kipa Diarra kiasi cha Dola za kimarekani 4200 sawa na zaidi ya milioni 10 za Tanzania
 
1685955049267.png
 
Back
Top Bottom