Diamond Platnumz anavuna alichopanda. Wasanii wenzie wasilazimishwe kumuunga mkono. Mmesahau ya Fiesta kipindi cha Makonda?

pamoja na kwamba siungi mkono mawazo ya kichawi dhidi ya diamond,lakini pia ni ujinga kuamini mond amefika pale alipo kwa uwezo wake peke yake.
hii pekee ni kuungana na hao wanaopiga mawe kwamba asiwategemee.

mimi ninachoshauri,aendelee kujipigia promo,na hata akishinda akauke.jibu kwa mchawi ni mafanikio yako sio maneno yako.
Hajasema kwa uwezo wake binafsi ila si kwa uwezo wa clouds media ni kweli clouds waliacha ku support kazi za mondi muda mrefu sana ,kama ni msanii mwenye roho nyepesi unakata tamaa kutokana na kujua position ya cmg ilivyokuwa aswa kwenye ushawishi na ukizingatia they are not on your side.... Vaa hicho kiatu uone kilivyo kikubwa.
 
hata movement ya mwijaku juu ya hizi tuzo kwa mond unatakiwa uichukulie possitive.

kama una mawazo hasi muda mwingi ndio mwanzo wa kufeli,huwenda wasingemkazia asingekuwa na studio yake binafsi leo hii

mwijaku anaamsha waliolala na wanapenda mafanikio ya mondi kwenda kumsaport ndugu yao,kwamba kuna vita kubwa ya kushusha.
 
Muda utaongea kaka, relax!
Kipindi Diamond amsuswa na media zote hapati hata airtime, nitajie msanii mmoja aliyetoka mbele kumtetea Diamond?

Kipindi kile Diamond anaandaa matamasha ushajiuliza kwa nini baadhi ya wasanii walio wengi walikuwa wanakataa kushiriki? Ukishiriki basi airtime na show unabaniwa (walilizungumzia hili Linah na Chemical)

Hivi hujiulizi kwa nini album ya A boy from Tandale alienda kuizindulia Kenya na si Tanzania?

So kama ipo ipo tu wapige wasipige kama umeandikiwa kupata,utapata na ndio maana hata Stoneboy na Black Coffee walichukua BET na hawakuwa wakubwa kivile.Waache kupiga wampigie wamtakae hawa shikiwa bunduki kumpigia kura Diamond.
 
Diamond asijione yuko salama kupostiwa na wasanii ambao hua hapendi kazi zao kufanya vizuri, in short wanajua kwamba diamond hua anawabania, huu unaweza ukawa ni mtego mkubwa sana kwa diamond. Asipokua makini ndio itakua mwisho wake!
anawabania vipi mkuu? kwamba wakitoa nyimbo hazipigwi au anazima social networks wananchi wanakosa access na kazi zao?
 
Diamond asijione yuko salama kupostiwa na wasanii ambao hua hapendi kazi zao kufanya vizuri, in short wanajua kwamba diamond hua anawabania, huu unaweza ukawa ni mtego mkubwa sana kwa diamond. Asipokua makini ndio itakua mwisho wake!
Unachekesha sana chief!
 
Wanajamvi Habari.

Hivi karibuni baada ya msanii Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET kumeibuka makundi mbalimbali hasa baadhi ya wasanii na wanasiasa kulazimisha wasanii na wadau wote wa muziki na wasio wadau wa muziki kumuunga mkono Diamond.

Lazima tuseme ukweli kuwa hata Diamond mwenyewe huwa haungi mkono wasanii wote kwenye kazi zao na wadau wote kwenye kazi zao hivyo tusiwalaumu au kuwalazimisha watanzania wote kumuunga mkono Diamond.

Lazima tukubali Diamond ana makundi na yanajulikana na ndiyo yanayo mgharimu sasa kwa hiyo watu waache nature/asili ichukue nafasi.

Nakumbuka kipindi kile cha Paul Makonda alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam alizuia kufanyika kwa tamasha la Fiesta na Diamond na kundi lake ndio waliongoza kuchekelea na kuwabeza Clouds....

Diamond alikuwa anajua fika kipindi kile wasanii wenzie wengi walikuwa wanapata kula kupitia lile tamasha lakini alichekelea kufungiwa kwa hilo tamasha hadi kukwaruzana na wakina Fid Q ... Kwa hiyo watu waache wachague cha kufanya wasilazimishwe uzalendo maana Diamond sio mzalendo.

Wasanii wanampost tu kwakuwa wasionekane wabaya na wengine wanafanya hivyo kwakuwa ni mmiliki wa radio lakini si kwamba wanapenda maana ukweli ni kwamba Diamond huwa hatoi support kwa wasanii wenzie....

Watu waache wawe huru kabisa maana Diamond atavuna alichopanda watu wasilazimishwe kumuunga mkono.
Walioanzisha na wanaochochea n wanaharakat wa upinzan pamoja na wanasiasa wa upinzan

Sasa Kwa mtindo huu mnatupa khofu
Mkipewa nchi mtakuwa watu wa visas vingi sana pengine mtazid uovu,rushwa ufisad kuliko hata hawa ccm tunaowachukia sasa hv

Coz
Anayelipiza Huzidisha
 
Bora nikamchague Kingwendu. Huyu muimba matusi anawenzake watamchagua CCM ndio wamchague.
 
Wanajamvi Habari.

Hivi karibuni baada ya msanii Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET kumeibuka makundi mbalimbali hasa baadhi ya wasanii na wanasiasa kulazimisha wasanii na wadau wote wa muziki na wasio wadau wa muziki kumuunga mkono Diamond.

Lazima tuseme ukweli kuwa hata Diamond mwenyewe huwa haungi mkono wasanii wote kwenye kazi zao na wadau wote kwenye kazi zao hivyo tusiwalaumu au kuwalazimisha watanzania wote kumuunga mkono Diamond.

Lazima tukubali Diamond ana makundi na yanajulikana na ndiyo yanayo mgharimu sasa kwa hiyo watu waache nature/asili ichukue nafasi.

Nakumbuka kipindi kile cha Paul Makonda alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam alizuia kufanyika kwa tamasha la Fiesta na Diamond na kundi lake ndio waliongoza kuchekelea na kuwabeza Clouds....

Diamond alikuwa anajua fika kipindi kile wasanii wenzie wengi walikuwa wanapata kula kupitia lile tamasha lakini alichekelea kufungiwa kwa hilo tamasha hadi kukwaruzana na wakina Fid Q ... Kwa hiyo watu waache wachague cha kufanya wasilazimishwe uzalendo maana Diamond sio mzalendo.

Wasanii wanampost tu kwakuwa wasionekane wabaya na wengine wanafanya hivyo kwakuwa ni mmiliki wa radio lakini si kwamba wanapenda maana ukweli ni kwamba Diamond huwa hatoi support kwa wasanii wenzie....

Watu waache wawe huru kabisa maana Diamond atavuna alichopanda watu wasilazimishwe kumuunga mkono.
Watu mnaowafatilia hawa vijana wavaa milegezo mnakazi sana , kijana wa kiume anajipaka lipstick ahahaha
 
tanzania wajinga wengi sana sikuwahi kujua tundu lissu ana akili ndogo kiasi hiki, yaani mtu kua mpenzi wa chama anachokitaka imekua shida?? Hata mm sikipendi chama cha mapinduzi ila tusilazimishane mapenzi kila mtu afuate chenye manufaa kwake tusilazimishane
 
1.Kwani mara ya mwisho hiyo clouds fm kupiga nyimbo ya Diamond lini?
2.Mara ya mwisho Diamond kushiriki Fiesta lini?

Diamond hawezi kumfurahisha kila mtu kijana, amepata tuzo kibao bila msaada wa hiyo clouds na chawa wao, hakuna alielazimishwa kupiga kura kabisa, kwanza hizo blah blah zenu wala Diamond hajawai zungumza chochote , zaidi ya kupost Tangazo lake la BET, relax kampigie Burnaboy ni haki yako
Yaani mimi niipigie kura ccm
 
Jana nimeshangaa wasafi kupiga wimbo wa Ali kiba sikupata jibu labda ndo kutafuta sapoti nje ya box
 
Back
Top Bottom