Diamond Platnumz ajibu shutuma ya kudaiwa Wasafi ni wanyonyaji

Amezungumzia upande mmoja tu wa hela waliowekeza wao (500M) lakini mbona hasemi wao kama label wameingiza revenue kiasi gani kutoka kwa huyo msanii? Manake Konde alivyoondoka ndio akafunguka kwamba alikuwa anachukua 40% huku wasafi wanachukua 60%... Kwa huyu wametengeneza kiasi gani?
 
Hushawahi kusikia Konde kasema alikuwa anaingizia kiasi gani?

Au may be label yoyote Tanzania au Africa ushawahi kusikia wakisema wameingiza kiasi fulani kutoka kwa msanii fulani?
 
Point yangu ni kwamba ule ulikuwa ni mkataba ambao pande zote zimefaidika na sio suala la kwamba upande mmoja umetoa fadhila kwa upande wa pili ambao walikuwa hawajulikani. Huwezi kutumia justification ya kwamba umewekeza hela nyingi kwa msanii wakati msanii huyo huyo nae amekuingizia hela pia (kitu ambacho hakisemwi).

Ndio mikataba iheshimiwe lakini isiwe kwa lengo la kukomoa upande mmoja.
 
Amezungumzia upande mmoja tu wa hela waliowekeza wao (500M) lakini mbona hasemi wao kama label wameingiza revenue kiasi gani kutoka kwa huyo msanii? Manake Konde alivyoondoka ndio akafunguka kwamba alikuwa anachukua 40% huku wasafi wanachukua 60%... Kwa huyu wametengeneza kiasi gani?
Hivi katika hiyo 60 yote anachukua diamond au inakwenda kwenye mgawanyo wa rabel Kisha kinachobakia ndio kinakuwa Kama faida au ipoje hapo?
 
Point yangu ni kwamba ule ulikuwa ni mkataba ambao pande zote zimefaidika na sio suala la kwamba upande mmoja umetoa fadhila kwa upande wa pili ambao walikuwa hawajulikani. Huwezi kutumia justification ya kwamba umewekeza hela nyingi kwa msanii wakati msanii huyo huyo nae amekuingizia hela pia (kitu ambacho hakisemwi).

Ndio mikataba iheshimiwe lakini isiwe kwa lengo la kukomoa upande mmoja.
Kama ni wewe ingekuwa unamiliki biashara yako ungelipana pasu kwa pasu na wafanyakazi wako?
 
Wasanii wajifunze kusign mikataba ya muda maalum kwamba atakaa kwa miaka kadhaa, atatoa album kadhaa, muda ukiisha wanaagana kiroho safi maisha yanaendelea.
 
Kama ni wewe ingekuwa unamiliki biashara yako ungelipana pasu kwa pasu na wafanyakazi wako?
Sio lazima... Lakini at least acknowledge mchango wake kwenye mafanikio yako na sio kutumia rungu la kusema umemchukua wakati hana jina na umewekeza hela kwake as if hana mchango wowote kwako.
 
Amezungumzia upande mmoja tu wa hela waliowekeza wao (500M) lakini mbona hasemi wao kama label wameingiza revenue kiasi gani kutoka kwa huyo msanii? Manake Konde alivyoondoka ndio akafunguka kwamba alikuwa anachukua 40% huku wasafi wanachukua 60%... Kwa huyu wametengeneza kiasi gani?
Konde boy anampa ibra share ya kiasi gani tuanzia hapa kwanza
 
Sio lazima... Lakini at least acknowledge mchango wake kwenye mafanikio yako na sio kutumia rungu la kusema umemchukua wakati hana jina na umewekeza hela kwake as if hana mchango wowote kwako.
Hata asipomchukua yeye anachukua mwingine na anamtengeneza anakuwa mkubwa Tanzania tuna label 4 kama sikosei ukiitoa Wasafi nitajie label ipi umetengeneza msanii kuwa mkubwa
 
Amezungumzia upande mmoja tu wa hela waliowekeza wao (500M) lakini mbona hasemi wao kama label wameingiza revenue kiasi gani kutoka kwa huyo msanii? Manake Konde alivyoondoka ndio akafunguka kwamba alikuwa anachukua 40% huku wasafi wanachukua 60%... Kwa huyu wametengeneza kiasi gani?

nilikuwa nasubiria hii comment.
 
Point yangu ni kwamba ule ulikuwa ni mkataba ambao pande zote zimefaidika na sio suala la kwamba upande mmoja umetoa fadhila kwa upande wa pili ambao walikuwa hawajulikani. Huwezi kutumia justification ya kwamba umewekeza hela nyingi kwa msanii wakati msanii huyo huyo nae amekuingizia hela pia (kitu ambacho hakisemwi).

Ndio mikataba iheshimiwe lakini isiwe kwa lengo la kukomoa upande mmoja.
Nani kakomolewa?

Hivi leo Mondi hasingekuwa na label, hasinge ingiza hela? Ila ninavyo wajua wabongo wangesema "ana roho mbaya,hataki kuanzisha label anataka kuwa yy........".

Hivi brother unamchukua msanii kwanza aliambiwa mbele ya umma hajui kuimba, hana mbele wala nyuma,huoni jamaa ana moyo na huruma ya hali ya juu,ambayo watu wengi hawana (hata mimi na ww hatuna), hapo ana miaka mitatu WCB hana project yoyote,ila wana mfundisha kuimba, kuvaa, connection na wasanii wakubwa wa Africa.

Si angeamua tuu hiyo hela 500m aende
TCRA akanunue frequency aongeze mkoa mmoja wa kurusha matangazo Wasafi Media au angetafuta plot angejenga nyumba sasa hivi angekuwa anakula hela na hizi kelele anawanyonya angeziepuka,ingekuwa yy na mziki wake na projects zake.
 
Hio 500m ilikuwa ni fadhila au investment ambayo most likely imerudi kutokana na hela ya mgawanyo wa mapato yaliokuwa yanaingia?
 
Kwangu ni investment yenye huruma ndani yake, kwa hali aliyokuwa nayo BSS hamna mtu ambaye angekubali kueka hela yake hayupo.

Tusiende mbali HATA WEWE HUSINGEWEKA HELA YAKO KWA HARMONIZE.
Kama ingekuwa investment inafanyika kwa HURUMA basi hata Hamorapa angesainiwa wasafi...

Nani amekwambia BSS ndio kipimo cha wanamuziki wazuri?
 
Sio kipimo ila kwa alicho kifanya BSS si ulikiona? Ni huruma na moyo kuwekeza kwa mtu kama Harmonize (kiuhalisia hata ww husingeweka hela yako) ,tena mtu mwenyewe aliye mwambia hajui kuimba ni Master Jay,still bado Mondi kajilipua kuweka hela yake.

Nacho kwambia leo atokee mtuu mwengine versions kama yake yy ya BSS ,Harmonize mwenyewe hawezi kuweka hela yake ndio ukweli wenyewe.
 
Back
Top Bottom