kwa haraka-haraka ukimsikiliza Diamond unaweza ukasema he is the best from heaven..sikatai he is good!!
nyimbo za Diamond ziko too delicate na hazitofautiani sana...na ni rahisi kuzichoka mapema!!
Ally Kiba mwanzoni niliku anamuona tu wa kawaida...ila dogo ni jembe na ana safari ndefu sana y akimuziki..graf yake inapanda...
diamond ameanza kulipua..na trust me akitoa nyimbo 3 mbele zenye mandhari kama ya mawazo/nimpende nani..hatafika mbali!!!
Hizi za vijana wa leo ..
akina sie tuwekee nani mkali kina marijan ,King kiki,Orch Marquis ,DDC mlimani park,Mbaraka Mwishehe na wengineo
Ungekuwa unapambanisha kati ya Vinega na Clouds ningekupa jibu kuwa Vinega ni noma!
mimi uwa nashindwa kujua jinsia za hawa watu,ni wa kike au kiume.Maana wanajichubua na kujipaka poda kama wanawake bwana.
list ya hao wanaobna pua bongo ipo hivi:-
1.DULLY SYKES
2.ALI KIBA
3.DIAMOND
Ally K zaidi, nyimbo zake hazichoshi tofauti na huyu mpenda cfa sijui wanamuita daimond...simpendi sitak hata kumuona
Huyu kijana mnayemwita kiba ni mtamu kwa kweli.Hata shemeji yenu anampenda sana.Ongeza kura ya shemeji yenu hapo kwa hiyo zinakuwa mbili
Alikiba zaidi,dogo noumer kwa ubunifu.
Hizi za vijana wa leo ..
akina sie tuwekee nani mkali kina marijan ,King kiki,Orch Marquis ,DDC mlimani park,Mbaraka Mwishehe na wengineo
Sie wa piobox hatuwezi ya kizazi cha feisibuku,