Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Ungekuwa unapambanisha kati ya Vinega na Clouds ningekupa jibu kuwa Vinega ni noma!
 
kwa haraka-haraka ukimsikiliza Diamond unaweza ukasema he is the best from heaven..sikatai he is good!!

nyimbo za Diamond ziko too delicate na hazitofautiani sana...na ni rahisi kuzichoka mapema!!

Ally Kiba mwanzoni niliku anamuona tu wa kawaida...ila dogo ni jembe na ana safari ndefu sana y akimuziki..graf yake inapanda...
diamond ameanza kulipua..na trust me akitoa nyimbo 3 mbele zenye mandhari kama ya mawazo/nimpende nani..hatafika mbali!!!

good comment!
 
list ya hao wanaobna pua bongo ipo hivi:-
1.DULLY SYKES
2.ALI KIBA
3.DIAMOND
 
Ally K zaidi, nyimbo zake hazichoshi tofauti na huyu mpenda cfa sijui wanamuita daimond...simpendi sitak hata kumuona
 
Huyu kijana mnayemwita kiba ni mtamu kwa kweli.Hata shemeji yenu anampenda sana.Ongeza kura ya shemeji yenu hapo kwa hiyo zinakuwa mbili
 
Huyu kijana mnayemwita kiba ni mtamu kwa kweli.Hata shemeji yenu anampenda sana.Ongeza kura ya shemeji yenu hapo kwa hiyo zinakuwa mbili

duhu,angalia ucje ukapokonywa mtoto.maana masharobaro wakisifiwa hawakawii
 
Back
Top Bottom