Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Ally Kiba ana zaidi ya Diamond kama atailea vizuri talent yake would become so huge...halafu hajajiingiza katika biashara ya kuuza magazeti kwa scandals
 
Nawapenda wote diamond i wish angetulia kama ally kiba! kuchekacheka kumezidi! but napenda sana nyimbo zake kwa kweli kura yangu wagawane nusunusu!
 
Alikiba kamzidi kila kitu 'baba wema' kuanzia kuwepo kwenye gemu.Ubora wa kazi,ally hana scandle za kihuni,ally kashafanya kazi na wasanii kama rkelly na wa bongo flava wengi tu,na wakati diamond kafanya kolabo na wasanii hawazidi 15,teh teh teh alikiba amerun diamond wewe
 
sure Alikiba kafanya collabo nyingi sana na most of them kazitendea haki
 
Ally Kiba ana zaidi ya Diamond kama atailea vizuri talent yake would become so huge...halafu hajajiingiza katika biashara ya kuuza magazeti kwa scandals
Mkuu ni kweli kabisa Alikiba ni wa ukweli sana na hana maujinga kama ya Dimond ie kila siku kwenye front page za mageziti ya Shigongo. Ila mara zote alizoshiriki Kili Music Awards Alikiba hajawahi pewa tuzo, kiaina nahisi huwa wanambania tu.
 
guyz wapo juu but ,kiba nadhan km akiamua h can du mo beta internationaly n kibongo bongo n kiuswahil pluntinumz yupo hi anawez n swaga zake zinauzika
 
Me Nampa mia Diamond, The fact behind being anajituma sana jamaa..hata shoo zake jukwaan zinadhihirisha hilo, Ukiachana na kuimba anajitahidi pia kuwa na uwezo wa kuimba na kucheza at the same time (kitu ambacho kinawashinda wasanii wengi wa bongo), Anajiamini na akiendelea hivyo atafika mbali...Zaidi ya yote ana heshima hasa kwa wakubwa wake wa kazi waliomsaidia kufika hapo alipo...Keep it up diamond, Na hivi juzi ameshinda mtihani wa kupambana na jini mahaba (Wema Abraham Sepetu), Kama hakijamuachia virusi...basi namtakia maisha marefu diamo
 
duh,haya mkuu naona umefunguka
 
Until now i don't undestand who is the best between those two guys let you vote who do you think is the best???......
 
Tu vote ili iweje ....???unafanya utafiti au ndo huna cha kufanya...?unataka kutoa tuzo gani mkuu?
 
Back
Top Bottom