pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,274
- 3,075
Ibilisi tokaaaaa tunakemea mapepooooo tokaaaaa hallelujah!
Morgani = morganAngalia katoa kitu na morgani heritage ndio uje na habari yako.
Kama ya kawaida tunga yako basi tuisikie, sio unakaa kaa kwa shemeji yako alafu unamwaga upupu hapaNyimbo ya kawaida sana,sema watu wataishangaa na kuisifia sio sababu ya ubora wa nyimbo Bali kundi alilolishirikisha ni kubwa na maarufu kwa kuomba nimbi nzuri sana duniani hasa sweet rege
Katoka kwenye accident ile hata miezi 6 haijapita anarudi tena kule kule !!?Atakuwa salama.wala usiogope
Yule ni jasiriii. I support her you knowKatoka kwenye accident ile hata miezi 6 haijapita anarudi tena kule kule !!?
Bora umemsaidia kujua tofautiTatizo ni wewe unayefikiri kiswahili huku mwezako anawaza kimataifa!
Mwenzako alikomaa akajua lugha ya malkia, wewe bado unawaza nyimbo za nitarejea ni ngumu sana kumuelewa!
hao mashabiki zake naomba nisiwemo tafadhali...hao sio mashabiki ni HATERSKwa kweli sisi mashabiki hatuelewi nini kimemsibu Kipendwa wetu kwani kadiri siku zinavyoenda ndivyo kipaji chake kinazidi kupotea! Nani mchawi Wa Muziki wake?
Chanzo: Nyimbo zake za hivi karibuni mfano bora nikae kimya, Hallelujah n.k.
Yule ni jasiriii. I support her you know
Kwa kweli sisi mashabiki hatuelewi nini kimemsibu Kipendwa wetu kwani kadiri siku zinavyoenda ndivyo kipaji chake kinazidi kupotea! Nani mchawi Wa Muziki wake?
Chanzo: Nyimbo zake za hivi karibuni mfano bora nikae kimya, Hallelujah n.k.
Kwa kweli sisi mashabiki hatuelewi nini kimemsibu Kipendwa wetu kwani kadiri siku zinavyoenda ndivyo kipaji chake kinazidi kupotea! Nani mchawi Wa Muziki wake?
Chanzo: Nyimbo zake za hivi karibuni mfano bora nikae kimya, Hallelujah n.k.
Ohooooo!!!ukipewa jibu Fanya kuntag.Hata wachezaji wanaambiwa wapunguze ngono sijui kwa nini?
Sawa mkuuOhooooo!!!ukipewa jibu Fanya kuntag.