Diamond platinumz ndio nani????

eastmea

Senior Member
Jul 28, 2018
159
133
Diamond ndio
1. Msanii pekee ambaye nyimbo zake hazipigwi kwenye media na bado anakimbiza tofauti na ilivyokuwa kwa Sugu, Dudu baya pamoja na Z anto.

2. Ni msanii mwenye mashabiki wengi Afrika Mashariki pia ni moja ya wasanii wenye mashabiki wengi Afrika kwa ujumla . Ana followers million 5 kwenye mtandao wa Instagram ambapo hakuna msanii ambaye ameikia idadi hiyo. Pia yupo kwenye listi ya wasanii watano ambao wanafollowers wengi Afrika tofauti na wale ambao wanafanyia shughuli zao nje ya Africa.

3. Ni msanii mwenye manager wengi afrika, ana mameneja watatu ambapo hakuna msanii Afrika ambaye amefanya hivyo.

4. Ndio msanii mwenye nyota inayong'aa zaidi Afrika Mashariki ambapo ukiwa karibu naye itapelekea kung'aa zaidi. Kwa mfano miaka ya nyuma wasanii ambao walibahatika kuwa karibu yake waling'aa zaidi tofauti na sasa ambapo wanang'aa ila sio kama walivyokuwa na Diamond Platinumz. Wasanii ni pamoja na Ney wa Mitego,Shetta, Ommy Dimpoz n.k

5. Ndio msanii ambaye amefanikiwa kuwainuwa vijana kutoka mtaa na kuwa wasanii wakubwa ndani ya Tanzania na wengine nje ya Tanzania ambao ni Harmonize, Rayvanny, Mbosso, Lavalava. Pia amejiri vijana wengine kutoka mtaani kama vile photographer wake anayejulikana kwa jina la Lukambao pia ndo msanii aliyeajiri vijana wengi Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla kupitia vitega uchumi vyake ambavyo ni Diamond Karanga, wasafi TV, Chibu perfume. Pia ameajili vijana wengi kwenye label yake ambayo ni moja kati ya label kubwa Afrika.

Lakini Diamond ndiye msanii anayepigwa vita sana pamoja na kufanyiwa fitina za chinichini na wadau mbalimbali wa mziki ili asifanikishe malengo yake lakini pamoja na fitina hizo lakini hajawahi kukata tamaa na kila siku anazidi kufanya maajabu katika game hii ya bongo fleva yenye fitina nyingi na kuwa inspiration kwa vijana wengine.

Tafadhali ongezea vitu ambavyo vinamuweka juu huyu msanii wetu
IMG_20180816_095926_461.jpg
 
Diamond ndio
1, msanii pekee ambaye nyimbo zake hazipigwi kwenye media na bado anakimbiza tofauti na ilivyokuwa kwa mh sugu , dudu baya pamoja na z anto nk:
2,ni msanii mwenye mashabiki wengi afrika mashariki pia ni moja ya wasanii wenye mashabiki wengi afrika kwa ujumla ; ana-followers million 5 kwenye mtandao wa Instagram ambapo hakuna msanii ambaye amefanya hivyo pia yupo kwenye listi ya wasanii watano ambao wanafollowers wengi afrika tofauti na wale ambao wanafanyia shughuli zao nje ya Africa
3, ni msanii mwenye manager wengi afrika, ana mameneja watatu ambapo hakuna msanii afrika ambaye amefanya hivo
4, ndio msanii mwenye nyota inayong'aa zaidi afrika mashariki ambapo ukiwa karbu naye itapelekea kung'aa zaidi kwa mfano miaka ya nyuma wasanii ambao walibahatika kuwa karibu yake waling'aa zaidi tofauti na sasa ambapo wanang'aa ila sio kama walivyokuwa na diamond platinumz , wasanii ni pamoja na ney wa mitego,shetta ommy dimpoz , nk
5, ndio msanii ambaye amefanikiwa kuwainuwa vijana kutoka mtaa na kuwa wasanii wakubwa ndani ya Tanzania na wengine nje ya Tanzania ambao ni harmonize, rayvanny,mbosso,lavalava pia amejili vijana wengine kutoka mtaani kama vile photographer wake anayejulikana kwa jina la lukambao piando msanii aliyeajili vijana wengi afrika mashariki na afrika kwa ujumla kupitia vitega uchumi vyake ambavyo ni diamond Katanga,wasafi TV ,chibu perfume pia ameajili vijana wengi kwenye lebel yake ambayo ni moja kati ya lebel kubwa afrika
Lakini diamond ndiye msanii anayepigwa vita sana pamoja na kufanyiwa futina za chinichini na wadau mbalimbali wa mziki ili asifanikishe malengo yake lakini pamoja na fitina hizo lakini hajawahi kukata tamaa na kila siku anazidi kufanya maajabu katika game hii ya bongo fleva yenye fitina nyingi na kuwa inspiration kwa vijana wengine
#NB ongezea vitu ambavyo vinamuweka juu huyu msanii wetu View attachment 839083
Inawezekana umeandika mambo mazuri, lakini mpangilio wa habari yako upo hovyo.
 
nampenda sana diamond plutnumz kikazi.. nilipata bahati ya kuongea nae anajua anachofanya.. hajaenda shule sana ila anajua mambo mengi sana
 
Back
Top Bottom