Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

MOJA YA KITU KINACHONIPA WAKATI MGUMU NI PALE MTU ANAPOLALAMIKA KUWA UNAMZUNGUMZIA SANA DIAMOND KULIKO WASANII WENGINE.
MTU KAMA HUYU UTAACHAJE KUMZUNGUMZIA JAMANI.
TUKUTANE BADAE.
1) ZILIPENDWA
2) KUPOSTIWA NA RICKROSS
3) DJ MKUBWA DUNIANI [HASHTAG]#DJKHALID[/HASHTAG] KAMFOLLOW
4) KAKUBALI MTOTO NA HAMISSA
5) KAENDA AFRIKA KUSINI KUMALIZA TOFAUTI NA ZARI
6) KAPIGA SHOO NA MAPOKEZI MAKUBWA MOZAMBIQUE
7) KAACHIA NGOMA KALI [HASHTAG]#HALLELUJAH[/HASHTAG]
MATUKIO YOTE NDANI YA MWEZI MMOJA TU HAYA KAFANYA @diamondplatnumz UTAACHAJE KUMZUNGUMZIA.
KWA NAMNA HII WATANGAZAJI WOTE AMBAO WATAKUWA WANAZUNGUMZIA HABARI ZA @diamondplatnumz WATAITWA [HASHTAG]#TEADIAMOND[/HASHTAG] SABABU UNAWEZA KUTA KILA SIKU ANA HABARI MPYA MJINI.
MATUKIO YA MUZIKI NA NJE YA MUZIKI NI MATUKIO AMBAYO HAYAKWEPEKI KUZUNGUMZIWA.
 
Njia ya kuepuka kusikia habari za DIAMOND ni kukubali ukafungwe jela....ila huko napo maskia wana tv siku hizi.
 
Ila mi hii hali kuna mda hainipendezi,unakua mziki wa mtu mmoja na si wa watu wote ama WCB.......
Kuna wasanii km barnaba wametoa songi Kali
Aslay,beka cjui nani lakn kila kukicha ni diamond tu.tuwazungumzie na hao wengne km tunavyomzungumzia domo
 
Yan nyie mnaacha kuzungumzia hali zenu duni na kutafuta ufumbuzi, mnakomaa na milionea.

Tupambane na hali zetu jamani...!! Huyu jamaa hta hanijui, na sihitaji kumjua sana either...!!

Hizi timu hazitufikishi popote jamani...!!!
 
38 Reactions
Reply
Back
Top Bottom