Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Nyimbo ya kawaida sana,sema watu wataishangaa na kuisifia sio sababu ya ubora wa nyimbo Bali kundi alilolishirikisha ni kubwa na maarufu kwa kuomba nimbi nzuri sana duniani hasa sweet rege
Kama ya kawaida tunga yako basi tuisikie, sio unakaa kaa kwa shemeji yako alafu unamwaga upupu hapa
 
Ndo maana amegeukia kuuza karanga na pombe sasa kwa sababu anajua huwezi kuwa juu kimziki miaka yote...kwa hiyo anajua anavyofanya kazi zake wala zisikunyime usingizi
 
Kwa kweli sisi mashabiki hatuelewi nini kimemsibu Kipendwa wetu kwani kadiri siku zinavyoenda ndivyo kipaji chake kinazidi kupotea! Nani mchawi Wa Muziki wake?
Chanzo: Nyimbo zake za hivi karibuni mfano bora nikae kimya, Hallelujah n.k.
hao mashabiki zake naomba nisiwemo tafadhali...hao sio mashabiki ni HATERS
 
Kwa kweli sisi mashabiki hatuelewi nini kimemsibu Kipendwa wetu kwani kadiri siku zinavyoenda ndivyo kipaji chake kinazidi kupotea! Nani mchawi Wa Muziki wake?
Chanzo: Nyimbo zake za hivi karibuni mfano bora nikae kimya, Hallelujah n.k.

Daa!!! Hata aibu huna!!!
Acha uzushi team Kibatari!!
 
Cha ajab mtu anaeandika hiv,hata baiskeli hana au hata mlo wake taabu,ananuka jasho kinoma,..pambana na maisha ,mwenzio anajarib ili familia yake ipate chakula,wee umekaa kumponda.ngoz nyeus ni shida
 
Back
Top Bottom