Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kiukweli diamond anacheza na soko la mziki dunian kwa kuzibitisha hilo hii nyimbo mpya ya halelujah akina Morgan wataupaisha mziki wake na watamletea soko kubwa maaana hio nyimbo iko poa mkuuu tuache unafiki kiukweli
 
Tena Unafiki Wenyewe wa Kiwango Cha Rami...

Mpige Tena Kampeni Na Hii Pia....Lol!!
 
Muda Mwengine Chuki Muwe Mnaweka Kando Jamani Lol!! Yaani Kazi Unaiona Kabisaa Nzuri Na Tamuu Ivyo Then Unakuja Ongeaa Utumbo Apa...

TEAM MZIKI MZURI (AJAWAHI KOSEA TANGU ANAANZA)..
 
Kwa kweli sisi mashabiki hatuelewi nini kimemsibu Kipendwa wetu kwani kadiri siku zinavyoenda ndivyo kipaji chake kinazidi kupotea! Nani mchawi Wa Muziki wake?
Chanzo: Nyimbo zake za hivi karibuni mfano bora nikae kimya, Hallelujah n.k.

Diamond anazidi kupanda
Hebu shuhudia hii ndo useme hicho unachotaka kusema
 
Ukifanya mziki tunategemea mziki wako ukuingizie pesa. Sasa kama anazidi kuingiza pesa tatizo liko wapi?!
 
Kwa kweli sisi mashabiki hatuelewi nini kimemsibu Kipendwa wetu kwani kadiri siku zinavyoenda ndivyo kipaji chake kinazidi kupotea! Nani mchawi Wa Muziki wake?
Chanzo: Nyimbo zake za hivi karibuni mfano bora nikae kimya, Hallelujah n.k.
Mtafte tuu Rasi Simba akufunze kingereza tatizo hapa haujui lugha mkuu, hii nyimbo Kali sana.

Na hawa majaa ameimba nao Diamond sio watu wadogo mjue mwaka Jana walishinda Grammy's
 
Back
Top Bottom