Kwa kweli nampongeza, kajipendekeza wee hadi kadaka ajira kwa Diamond, nasikia analipwa dola 80 kwa wiki kwa kubeba viatu tu, si haba!Jamani mumuache LeMutuz
Napenda swagga zake za kusaka pesa, wengi kama Mange wanamuonea wivu sababu hawana pa kupatia pesa na pia ujanja alionao.
Hongera zako Le Mutuz, fanya yako, ishi kivyako, kweli umejulikana haswa na wanazidi kukupa kiki.
Mange inaonekana anakupenda sana najua utajisoma humu, inabidi umtumie malavi davi maana anaishi akikutamani hadi anaishia kukutukana kwenye mitandao...anakupenda na hivyo dada yako hana time nae kivile basi tena...na wewe upo na dadako beneti anasikia wivu haswa
Beba viatu hata safisha njia kama unaingiza pesa ndio umuhimu...tabu watanzania wanagikiri kupata pesa haswa ni ulale tu uringe ujifanye huwezi hili au lile.
We jamaa macho yako yanaona vitu muhimu tu nami nimeona hivyo hivyoMi naona ka vile mtu na demu wake! ah!...
we acha longolongo, wengine wote wamevaa yeye kwanini avue. kwani hao wengine hawapo kwenye mchanga?Hivyo ni viatu vyake mwenye alivua na kushika mkononi yupo mchangani