Diamond ni Balozi mzuri, asemehewe

This is stupidity!
Watanzania tuna matatizo makubwa sana ya kiakili, kwamba aombe radhi kwa kua mwanachama wa chama cha siasa? Au sijaelewa vizuri
 
This is stupidity!
Watanzania tuna matatizo makubwa sana ya kiakili, kwamba aombe radhi kwa kua mwanachama wa chama cha siasa? Au sijaelewa vizuri
Au sijaelewa vizuri
Naona umeshajijibu
 
Sijawahi kujua kama MONDI ni mkubwa kiasi hiki!

Miezi 6 mwamba yuko tu amekamata media
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hahahaaah!
Kwani Wizkid kashinda?
Aya Nakamura je?
Na wale wengine wameshinda?
Au nao walifanyiwa petition uchwara za huko twita na kina vigogo wa huko kwao?

Labda sifatiliagi mambo vizuri, Wizkid ashawahi ungana na Buhari wanayemwona kwao km useless prezidaa? Je hakukemea sars?
Sasa kwanini hajashinda?
Vp na hao wengine nao walijiingiza kwny siasa za nchi zao?

Ujinga huu unaonesha ni namna gan una upeo mdogo wa kufikiria... Leta hoja za msingi za kumshauri na sio eti awaombe msamaha hawa wapiga kelele wa mtandaoni, ambao kwa namna moja ama nyingine hakujaathiri chochote katika kukosa kwake tuzo au kazi yake ya sanaa (rejea ile petition uchwara)

Hana sababu ya kumuomba yeyote msamaha zaidi ya kuwashukuru watu waliokuwa bega kwa bega na yeye kwa sababu katika category ile sio yeye pekee ndo kakosa, Kuna wengine 6 nao wamekosa ambao kwa namna moja ama nyingine ni bora zaidi yake

Acha mihemko na unafiki bro hahahaaah!
Mkuu, hawa vijana wa BAVICHA vichwani mwao ni 0
 
Mshana Jr upo sahihi kwa mtazamo wako na wengine kwa jicho la tatu. Ila dogo pamoja na kuwa yeye ni tajiri kibongobongo ana dharau sana kwa wanamuziki wenzake na alishawahi kutoa kauli kuwa wote wajipange wafanye show pamoja alafu yeye atawakalisha, hiyo ni dharau kubwa kwa upande wa medani za kimuziki. Pili ni kuwa anatakiwa abadili management yake maana hao mameneja wake wote wameshapitwa na wakati wanashindwa kumshauri vzr kimataifa ni wakati sasa wa kupata meneja atakayemwakilisha kimataifa.

Tatu aweze kusapoti muziki wa watanzania wenzake mana naona kila wanamuziki wenzake washindani wake wakitoa nyimbo badala ya kuwasapoti na yeye anakimbilia kutoa nyimbo na kwa kuwa ana access na media basi anajitahidi kuwashusha wenzake ili atrend yeye tu hilo ni kosa kubwa. Nne anapenda sifa kuliko chochote wakati watanzania wengi wanaomsapoti ni maskini kwa kiwango kikubwa sasa anapojibrand kila akinunua magari au majumba watu wengi hawapendi na wanakuwa na chuki kubwa moyoni aige mfano wa kina Bahresa hawapendi show off na wana pesa nyingi tu. Ni hitimishe dogo kazingua sana kmmk inabidi aombe radhi pia abadilike.
Ona huu ujinga sasa!

Sasa ulitaka ajishushe aseme mimi siyo lolote?

Maana ya usanii ni pamoja na hiyo kujigamba kwamba yeye ndio top!..

Hao wasanii wenu inabidi wapambane wamfikie Mondi alipo siyo kutegemea huruma yake!

Mondi kapambana kwa mengi ikiwemo figisu za wazi toka kwa vyombo mbalimbali vya habari na hakuna msanii yeyote alikemea mondi akifanyiwa figisu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
This is stupidity!
Watanzania tuna matatizo makubwa sana ya kiakili, kwamba aombe radhi kwa kua mwanachama wa chama cha siasa? Au sijaelewa vizuri
Shangaa sana mkuu!

Bungeni huko wanajipitishia tu madudu ila watu wako busy na MONDI na wajifanya wana akili kweli kweli
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Similar Discussions

Back
Top Bottom