Diamond na Vanessa wamekuwa nominated kwenye tuzo za African Entertainment Awards

Good... tuhakikisheni tunazichukua hizi mbili zote..

Afu design kama wamemkubali chibu tayari, kawapa followers na kuonyesha ana appreciate suala ambalo mastaa wakubwa wengi hawafanyi wenyewe wakiweka macho mtv pekee,...

Yaani wameshamkubali
 
oya wadau eeeeh, nimepata updates hizi kura unapiga bila kikomo, ni wewe tu na kufurushi chako cha chuo mpaka chaji iishe....
 
haya maneno ya shombo ndo mnamuharibia diamond watu wasimpigie kura, diamond anahitaji kura za mashabiki wote acheni uchochezi wenu

ukiona mtu hampigii kura diamond na kumchukia kisa tu kashfa za mashabiki, ni mpuuzi huyo lazima ujiulize mara mbili kama ubongo wake unafunction properly...

Hivi vitu havizuiliki hata kidogo, imeshatokea kibaya zaidi wabongo wanaona media kama pumzi 24/7 kufitiniana ndio maana tupo hapa..
 
Evelyn Salt Matola Chinga One cute b atoto mzurimie pwilo Diva Beyonce miss lincoln Avemaria chige abou sydou Bint kiziwi nifah Umoja ni nguvu jamani... kwa pamoja tushirikiane kupiga kura tulete ushindi nyumbani..
Wewe si nikishakuambia usiwe unani mention kipumbavu? Wew ni ndumilakuwili wajidai mwema kumbe unakula huku unapuliza huku. Kawa nominated so what?
Bado sijawa mzalendo so usiniite kwenye upuuzi siku nyingine. Bado nitavote for Davido au jiwe.
Ng'ata ulimi kama umeumia.
 
Last edited by a moderator:

aaaaaarg... sio case, hata hivyo si nimekuwekea link hapo juu ya kupiga kura? ni vizuri hata nimekukumbusha kumpigia kura davido..

Kupiga kura haina kikomo vote vote vote 4 davido, cute b yupo categories mbili hizo hizo alizopo diamond, usijeniambia na vee mtonyo hampi kura yako?? itakuwa hatariiiii

ONE LOVE, SINA UNAFIKI NINAONGEA NINACHOONA NI SAWA AT THE RIGHT TIME.. acha kuklemisha maisha..

TEAM KIBA TO TEAM OBO, vipi za uganda davido hayupo unampigia wizkid???
 
Last edited by a moderator:
Wewe si nikishakuambia usiwe unani mention kipumbavu? Wew ni ndumilakuwili wajidai mwema kumbe unakula huku unapuliza huku. Kawa nominated so what?
Bado sijawa mzalendo so usiniite kwenye upuuzi siku nyingine. Bado nitavote for Davido au jiwe.
Ng'ata ulimi kama umeumia.

Huyu jamaa sijui ni aje!
Nshasema mi sina muda wa kuvote for Diamond na hilo liko wazi sasa nashangaa jitu linanimention mention tu.
Kama umoja ni nguvu waunganishe za kwao zinatosha! Kheee!!!
 
Hivi huyu Vanessa ana nyimbo ngapi!? Mbona anapata shavu sana..

Kwa mnaomjua ni nini ubora Wa huyu msanii!?
 
Habari njema wadau...

Upigaji kura tuzo za Nigerian Entertainment Awards umefunguliwa rasmi hii leo..

Diamond anawania kipingele cha best African artist (ambacho ni mahususi kwa wasanii nje ya nigeria) .. Hivo basi tupige kura huku ni rahisi kinoma, unapiga kura mara moja tu!! kipengele chake ni cha kwanza, una click kwenye tick na ikiwa ya kijani inamaana kura imepokelewa (hakikisha kutumia browser)

link hii
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

http://neaawards.com/index.php/voting-page/

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
 
Huyu jamaa sijui ni aje!
Nshasema mi sina muda wa kuvote for Diamond na hilo liko wazi sasa nashangaa jitu linanimention mention tu.
Kama umoja ni nguvu waunganishe za kwao zinatosha! Kheee!!!

Bora ni wew useme.
Anajishaua vote vote fo domo sijui uzalendo sijui nini na kuomba msaada kwa kuita watu wa vote na wakati anajua wazi palipo davido lazma nimvotie.
Nilishamwambia sintokaa nivote for domo ni bora ni vote for stone au kuacha kabisa lakini haelewi anazani nishakuwa mzalendo eee.....
Tena asisumbue watu NIPO LINDO NALINDA TEMBO
 
Chuki haijengi...
Habari njema wadau...

Upigaji kura tuzo za Nigerian Entertainment Awards umefunguliwa rasmi hii leo..

Diamond anawania kipingele cha best African artist (ambacho ni mahususi kwa wasanii nje ya nigeria) .. Hivo basi tupige kura huku ni rahisi kinoma, unapiga kura mara moja tu!! kipengele chake ni cha kwanza, una click kwenye tick na ikiwa ya kijani inamaana kura imepokelewa (hakikisha kutumia browser)

link hii
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

Vote | Nigerian Entertainment Awards

Kaifungulie uzi
 
Asanteeeee ngoja nikavote mie
 
Back
Top Bottom