Diamond na Vanessa wamekuwa nominated kwenye tuzo za African Entertainment Awards

Itakuwa poa Sana tutashangilia humu humu

Itakuwa live stream tukio zima la mtv mam hapaa

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇
http://www.mtvbase.com/news/watch-the-mtvmama2015-live-online/a10bjh
 
wenzako tunazishabikia hatariiiii, na tukizibeba, mjini patakuwa na heka heka, manake le Prezidaa si atatandikiwa zulia toka airport mpaka tandale sasa???? si unajua tena anavyopendwaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!

ahahahaa!tena waombe dua tusishinde,Maana tukishinda humu ndani hapakaliki
 
Hivi huyu Vanessa ana nyimbo ngapi!? Mbona anapata shavu sana..

Kwa mnaomjua ni nini ubora Wa huyu msanii!?
hana lolote hamuwezi linah hata kidogo semab ye anapata shavu sababu ya jina lake coz anafanya kazi mtv base as a presenter thats y nothing else
 
Back
Top Bottom