Diamond na Mh Membe wakiongea neno

Diamond na Mh Membe wakiongea neno

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,018
10426562_836243103097159_7968803539299119210_n.jpg

Wakati Msanii huyu wa bongo fleva Diamond aka Chibu Dangote amekataa offer ya kumpigia kampeni muheshimiwa fulani inaonekana atakuwa na muheshimiwa huyu katika kampeni zake na uwenda akapatiwa donge nono.
 
Yaani hapo ndipo hata yy tutamshusha chini huyo diamond anaelekea kujiharibia kabisa
 
Yaani hapo ndipo hata yy tutamshusha chini huyo diamond anaelekea kujiharibia kabisa
Unaonekana uko addicted na Mbowe mpaka unashindwa kutofautisha na mambo ya biashara.Ukienda pale Bilicanas kwa mbowe utawakuta hata mafisadi kina chenge wanaenjoy.....Anyways na ninyi mtafuteni mzungumze biashara atafanya tu.
 
10426562_836243103097159_7968803539299119210_n.jpg

Wakati Msanii huyu wa bongo fleva Diamond aka Chibu Dangote amekataa offer ya kumpigia kampeni muheshimiwa fulani inaonekana atakuwa na muheshimiwa huyu katika kampeni zake na uwenda akapatiwa donge nono.

Mtumishi hata na wewe wamjua daimond zaidi ya petro umenihaibisha kwakweli. Pepo mchafu naomba akutoke kwa jina la yesu injili imekushinda umekua said fella sasa hivi kweli ulokole ni usanii.
 
kwani wagombea urais wa ccm watakua zaidi ya mmoja?
 
Mtumishi hata na wewe wamjua daimond zaidi ya petro umenihaibisha kwakweli. Pepo mchafu naomba akutoke kwa jina la yesu injili imekushinda umekua said fella sasa hivi kweli ulokole ni usanii.

Teh teh teh!
 
Unatofautisha vipi njaa, uroho na ulafi ??

vipi kuhusu biashara??!! yaaani yeye kama mfanyabiashara siasa zenu 'hazimhusu' anaenda kufanya 'show' tu! nilimuona kwa lowassa pia.
 
Kuna habari kwamba Diamond kamsaliti Membe kwa kenda kuperform kwenye sfari ya matumaini,
Ssa nikajiuliza kwani huyu ni mfanyakazi wa Membe?je ana mkataba gani na Membe?
 
Mtumishi hata na wewe wamjua daimond zaidi ya petro umenihaibisha kwakweli. Pepo mchafu naomba akutoke kwa jina la yesu injili imekushinda umekua said fella sasa hivi kweli ulokole ni usanii.
Ulokole ndio habari ya Mujini.

Wajanja wote wanamfuata Yesu.
 
Ni yesu mwana wa mungu na ndo mungu hapo kidogo huwa si jifahamu ni vipi
 
​hiyo picha ni ya siku nyingi sana
 
Kwa hiyo asiongee nae leo sababu anataka Membe anataka kuwa raisi, embu mwacheni Diamond awe Diamond

Eti maajabu wapi wakati nae ni binadamu.

Mnajazia maneno kumbe mnahamu ya kujua wanaongea nini, kijana na Uncle Membe.
 
Back
Top Bottom