Diamond Mpaka mapodaaa...!!!

Ahahaha.Jamani sio photoshop hiyo?
Ndiyo yenyewe. Tizama oicha ya kushoto linganisha size ya bega nakiganja kilichoshika sponge ya poda. Bega kubwa. Tizama picha ya kulia chini kabisa kulia utaona source ya picha hiyo. Lakini jamaa kajitahidi kufotoshop.
 
yah.. Lakini kulia ni picha live.... Yakushoto imepigwa editing
 
Back
Top Bottom