Diamond - Mdogomdogo (Video na Lyrics)

Diamond - Mdogomdogo (Video na Lyrics)

wewe ndio babu tale? diamond ndio anapotea wewe unaona kuna haters? wewe unadhani hata video ya thriller ya Michael Jackson ingevunja rekodi kama audio ingekuwa ushuzi mtupu kama hii ya diamond?

Acha uthenge wewe msanii anayepotea inakuaje awe nominated kwenye diffetent awards?..Ujinga huu wa ku hate mtauacha lini nyinyi watoto wa wachawi?
 
Hatari tupu...yani nimeiangalia zaid ya mara tano....

tusubili hii videi ivunje rekodi ya mauzo kwa kuuza mamilioni ya copy iwe kama ni thriller ya Tanzania, ila kama video yenyewe ni ya kuangaliwa YouTube na download tu, haya twenzetu.
 
Naona povu linawatoka tu leo, jana mlisema Diamond aimbe mziki wa asili asicopy Nigeria sasa leo kafanya hivyo mnaanza kutapatapa..hahahaha

Shardcole kuimba tu wimbo wa asili haitoshi,je n mzuri.?
kama ukiimba tu wimbo wa asili unatoka kimataifa,kila msanii wa bongo angekula internationally....

m sina ushabiki wa kitoto kama wewe,mshkaj wako kabuhi,ingawaje wimbo unaweza kuvuma kwa kulazmishwa na akina Ruge,ila ndo basi tena kabugiii...
 
Last edited by a moderator:
The boy is doing good.... He is here to stay aisee ana invest sana kwenye kazi yake ndo maana bila shaka anavuna sana.
Keep it uo diamond
 
Congratulations DP, your future is very bright please keep it up.
 
nyimbo nzuri..ivi domo anapaka lipstick.nauliza tu
 
Ni mwendo wa vipara...

Nani kanunaaaa? Kuna mtu kaibiwa?
 
Bongo bana kweli ni wanafiki its ok mdomdogo video ni mzuri mno kuliko video zote alizowah kufanya ni vizur pia audio ikasifiwa pia coz ni traditional mchiriku,mnanda kuendana na shooting..

Mnataka aimbeje sasa??? My number one mnasema ooh anacopy style za nje sio mbunifu,Bumbum ooh anacopy West Africa haya Mdogomdogo ooh too local anaimba kizaramo... mnataka aimbe vipi sasa?? Takeu style oh..

Ni mwendo wa viparaaaaa
 
Usipoteze muda mkuu kubishana na jinga ilo lisilojua muziki,alafu kwa akili yake fupi linadhani linapatia kweli linachokiongea...Linasema muziki wa saida karoli ndio wa kitanzania kwa kuwa nshomile mwenzie,ila wa kizaramo sio wa kitanzania kisa alipendi wazaramo......Alafu linasema management ya diamond mbovu haimshauri vizuri then lenyewe linashauri angefanyia video iyo rufiji kwa milioni 10...ilo linachoweza ni kumsifia slaa tu na mbowe.

Hahaha mkuu umelitusua hilo tutusa
 
ikiwa imekaa wiki tatu tu you tube tayari inawatamazaji laki tano na nusu. pia ni video yenye quality ya hali ya juu sana. video ya linah ambaye wametoa studio moja ndio inakaribia viewers 40,000. kitu kinachoshangazza ni kwamba video ya mkongwe jide ya nasimama haijafika hata viewers 2,000 japo nyimbo na video ziko bomba.
 
Back
Top Bottom