strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,312
Video nzuri audio ushuzi mtupu
I agree na wadau nimekuwa nasikiliza huo wimbo ila
video hadi raha I wish wimbo uwe kivingine.
Hata nyimbo za AfroNiger tunazozipenda huku mtaani kama sekereu etc hata Hiphop ni street customs za USA - ngoma za kimtaani zaidi(battling Hiphop) so msishangae kupiga mchiriku style (ngoma imekaa poa sana)
Acheni wivu wa kijinga haters

Nahisi Diamond anazidi kufanikiwa zaidi so ajiandae kisaikolojia Haters kuwa wengi na mamluki for no reason
wewe utakuwa ni mzaramo au mswahili mswahili hivi siyo bure. pale diamond kakosa washauri shooting angefanyia msanga au rufiji kwa bajeti isiyozidi million 10.
waliofanya shooting hii ndio ilipaswa washoot my namba one
nyimbo ingeendana na shooting nadhani hata dovido angetemeshwa tuzo moja huyu dogo angepata.
Me mswahili haswa hujakosea....
na Dai kanikuna kweli kweli....nyumbani ni nyumbani, mchiriku lazima upaeeee!
wewe ndio babu tale? diamond ndio anapotea wewe unaona kuna haters? wewe unadhani hata video ya thriller ya Michael Jackson ingevunja rekodi kama audio ingekuwa ushuzi mtupu kama hii ya diamond?