Diamond - Mdogomdogo (Video na Lyrics)

Diamond - Mdogomdogo (Video na Lyrics)

ikiwa imekaa wiki tatu tu you tube tayari inawatamazaji laki tano na nusu. pia ni video yenye quality ya hali ya juu sana. video ya linah ambaye wametoa studio moja ndio inakaribia viewers 40,000. kitu kinachoshangazza ni kwamba video ya mkongwe jide ya nasimama haijafika hata viewers 2,000 japo nyimbo na video ziko bomba.

Ajabu ni kwamba kuna watu hawataki youtube views ziwe considered, watz tuna vituko sana watu wanafikiri kupata views nyingi mtandaoni ni jambo rahisi tu..kwamba ukipenda tu itakuwa.

Kwa tafsiri zao ni kwamba kazi yenye views elfu tano na ile yenye milioni moja zinashabikiwa sawasawa.
 
Huyu dogo huwa simkubali kabisa lakini hasira zangu dhidi yake zimepunguzwa na hii ngoma yake ya 'Mdogo mdogo'

hapa dogo amejitahidi kuwa traditional na kuja na kimchirikuchiriku hivi!

Kuna jamaa niliwahi kumwambia kuwa akitokea mjanja akarasimisha hii ngoma ya kizaramo atapata ujiko sana.

Big up Diamond kwa 'mdogo mdogo'
 
Full Verse(Official ) – Mdogo Mdogo: by Diamond Platinumz

Aaah…ooh.. nimetembea tembea bara na visiwani
Ila nikajionea, wee ndo my namba wani
Natamani nikupe ila sinaa, nimejaliwa upendo heshima, aah
Maneno yao matamu, wasikuibe mama
Si unajua vina tamu, wabaya sana

Wana wivu haoo, haoo, haooo
Wachonganishi haoo, haoo haoo
Wana wivu haoo, haoo haooo
Wachonganishi haoo, haoo haoo

Usije niacha kwa unyonge nachechemea
Au utamu wa finyango na tonge, ukanielemea
Usije niacha kwa unyonge nachechemea
Au utamu wa finyango na tonge, ukala kwangu ooh

Hapa, Mwendawazimu kaingiaje
Asije Kitorondo, Mwendawazimu kaingiaje
Akanikata na uhondo, Mwendawazimu kaingiaje
Kitorondo Kitorondo, Mwendawazimu kaingiaje
Ikinasa mpaka uondoe, Mwendawazimu kaingiaje
Oooh Kitorondo, Mwendawazimu kaingiaje
Akanikata na uhondo, Mwendawazimu kaingiaje
Ikawa nyumba ya shetani, Mwendawazimu kaingiaje
Aaah……

Ah, kidogo n’kileta maneti msinune,
Nikumbatie unikisi nijivune,
Kesho nizidishe ufanisi, n’jitume,
Tujenge hadi nyumba Paris, wanune,

Hii michezo michezo huko saluni, chunga u kifano
Wasije kufunza pia uhuni, ukawa unadanga,

Teh , ukaanza safari, mchana wa jua kali, usiku haulali, ae ae
Ooh.. ukaanza safari, mchana wa jua kali, usiku haulali, ae ae

Wana wivu haoo, haoo haooo
Wachonganishi haoo, haoo haoo
Wana wivu haoo, haoo haooo
Wachonganishi haoo, haoo haoo

Ooh.. ukaanza safari, mchana wa jua kali, usiku haulali, ae ae,

Hapa, Mwendawazimu kaingiaje
Asije Kitorondo, Mwendawazimu kaingiaje
Akanikata na uhondo, Mwendawazimu kaingiaje
Kitorondo Kitorondo, Mwendawazimu kaingiaje
Ikinasa mpaka uondoe, Mwendawazimu kaingiaje
Oooh Kitorondo, Mwendawazimu kaingiaje
Akanikata na uhondo, Mwendawazimu kaingiaje
Ikawa nyumba ya shetani, Mwendawazimu kaingiaje
Aaah……

Aaah..vipi tena …aaah nini bwana….saa hizi tena kuna mtu kaibiwa…..

What do you do with this looser…

Wee nini….

Asante……Thomas…

Mdogo mdogo, usijali mama,
Mdogo mgodo, we acha waongee,
Usiku na mchana, aah mpaka wanyongee,
Na ntakupenda sana, mahaba ninyonge
Usijali lawama, acha wanizonge

Ooh kachiri kachiri, kachiri we ngao yangu
Wenzako hutamani, nilindie roho yangu
Wasije wa fulani, wakaiba tamu yangu,

Wasafiiii….
Hapa, Mwendawazimu kaingiaje
Ah , Mwendawazimu kaingiaje x 3
Mdogo mdogo, ah mwendawazimu kaingiaje x 4

Mwendo wa vipara!
 
Back
Top Bottom