mzee wa malinyi
Member
- Jun 15, 2014
- 8
- 0
As long as hajaimba matusi sio mbaya kuisikiliza, midundo haiwez fanya nyimbo iwe ya kipuuzi. Diamond hajawahi kuwa nje na jamii yake siku zote ye ni mswahili tu kama sio kwa nyimbo zake basi kwa matendo yake.