avalanche
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 227
- 234
Wadau naomba kujuzwa hizi karanga pendwa za Diamond ni mali ya nani? Smart Industries nembo yao ndio iko pale juu lakini Diamond anazipa promo zaidi, anatokea kwenye ads na watu wengi wanampa pongezi yeye.. ningependa kufahamu mwenye ubuyu wa kuaminika juu ya hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app