baada ya mond kuondoka Poul alitembezewa kichapo na wananzengoHuyu Will Poul naye alishaenda kuangalia movie kwa Pdidy?
View: https://www.instagram.com/reel/DDTl7_zIgWF/?igsh=dTN1ZWVrOXVsdmVr
baada ya mond kuondoka Poul alitembezewa kichapo na wananzengoHuyu Will Poul naye alishaenda kuangalia movie kwa Pdidy?
Eti wanaita convoy ya tajiri [emoji23]Ndo Ile safari aliyoondoka kwa mbwembwe za magari?
hizo chupa stajini utakaa kweli? kioo cha phantom X kikivunjwa wakenya hawana hela ya kukilipaHuyo kapuku ni muhuni tu ..fukara tu. Ona anakimbia hata na hela ya kupafom show tu.
Hapa lazima tuchekwe tuu: BLAND!Mondi bland kubwa hawezi perform kwenye hizo stuations za kijinga. Wakenya makanjanja sana
baada ya mond kuondoka Poul alitembezewa kichapo na wananzengo
View: https://www.instagram.com/reel/DDTl7_zIgWF/?igsh=dTN1ZWVrOXVsdmVr