KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
NIlihisi "the romantic" ni promoter wa Diamond since alipoanza kuleta yale masredi yenye takataka za wema na diamond.... Ok
sorry kwa kurupuka... but you continue kumpa promo as we postNi wazi utakua umekurupuka mzee,mi ndio mara ya kwanza kuleta mambo ya huyu mtoto humu,na hii nimeifanya kutokana na ushamba wake,maana dogo kalishwa perege anatangaza mji mzima eti kala samaki sasa akilishwa pweza si matangazo yafika mpaka cnn naona!huyu kweli anatoka mbagala!
Mafua yananisumbua,nataka nipyenge kamas,
fyeeee,
aaah,tone limeingia kwenye Chai
Mbona lips zake zimefanana sana na za Wema? I mean, ah ngoja niache.
Apende kazi yake ya muziki cos ndio iliyomtoa tandale mpaka sinza,mboga moja mpaka msosi wa draft,kutoka kupata watoto poli mpaka masuperstar,pamba moja mpaka kuwa duka,pair moja ya viatu mpaka kumatchisha so apende muziki wake kwani ndio kila kitu na akumbuke kuweka akiba kidogo cos bado mdogo na anasafari ndefu sana ktk maisha na ya mafanikio,wazuri wanazaliwa kila cku tena na adabu zao
Ni wazi utakua umekurupuka mzee,mi ndio mara ya kwanza kuleta mambo ya huyu mtoto humu,na hii nimeifanya kutokana na ushamba wake,maana dogo kalishwa perege anatangaza mji mzima eti kala samaki sasa akilishwa pweza si matangazo yafika mpaka cnn naona!huyu kweli anatoka mbagala!
Mbona lips zake zimefanana sana na za Wema? I mean, ah ngoja niache.
Najua ntaitwa hater. Lakini mwanaume unafikie hatua ya kujiremba hivi? Thats not man enough. Piga scrub sawa ila mpaka malip bum sijui lip shine. Khaa inatia kinyaa!!
Najua ntaitwa hater. Lakini mwanaume unafikie hatua ya kujiremba hivi? Thats not man enough. Piga scrub sawa ila mpaka malip bum sijui lip shine. Khaa inatia kinyaa!!
You mean kamwambukiza!?...lolMbona lips zake zimefanana sana na za Wema? I mean, ah ngoja niache.