Diamond anauliza ampende nani??

"Yasiwe kama ya wema sepetu kila siku magazeti,hajui nidhamu na mila za kwetu,mjuzi kupetipeti,simtaki ka uwoya ni mtemi ana hasira,mpole kama joketi,ila sauti kama wema akiwa analiaa,kicheko kama cha fetty"---Diamond«»Nimpende Nani
 
hujaenda kujenga taifa leo?
Nimefurahia ratiba yako...e.g kula mpka usikie njaa kwanza.

Mie ni early riser... Sasa leo yamenikuta, nimelala alfajiri na kuamka saa mbili, nimeingia kazini almost saa tatu na nusu na siku zooote hua nafika saa moja na nusu (ndo maana mkanganyiko wa mda....lol)

hahaha... Hio ratiba ya kula hakuna lolote dear....lol
 
Ndo nyota wa bongo hawa, wanalewa umaarufu mara moja na kushahau hata kilichowafikisha walipo....

Anyway; ujana ni moshi, ukienda haurudi!
Yani hapo kwenye red....
Kama kila mtu angefunuliwa jambo hilo basi nadhani dunia ingekuwa sehemu njema sana
 
AshaDii sasa huoni warembo wanaisifia hiyo 'regular'....lol jamani utoto raha nyie!
 
Mie ni early riser... Sasa leo yamenikuta, nimelala alfajiri na kuamka saa mbili, nimeingia kazini almost saa tatu na nusu na siku zooote hua nafika saa moja na nusu (ndo maana mkanganyiko wa mda....lol)

hahaha... Hio ratiba ya kula hakuna lolote dear....lol

Kheee!hapo kwenye red....unanikumbusha kule kwa wakubwa......anyway..nakuaminia sana tu
 
Yani hapo kwenye red....
Kama kila mtu angefunuliwa jambo hilo basi nadhani dunia ingekuwa sehemu njema sana
Waache warukeruke ila tu siku ya siku wasije wakaweka hizi herufi kwenye sentensi zao.....'ninge/ningali....'
 
Habari yako Ritz.... You have been missed..lol..:eyebrows:

Fresh sana...Adi, niambie upo! Naona dogo Diamond anauonyesha Ushabab wake!

Ujue Joketi niilikuwa naomuona decent kwa awa mademu wa town...sasa tena kaangukia kwenye mikoni ya Diamond..

Kashindwa kutafuta mwanaume makini uko posta! Elimu yake ya chuo kikuu aijamsaidia kabisa!

Au ndio mapenzi upofu?
 
THANK YOU.... Sometimes hua naogopa there will be NO more MEN in the future... Maana wapungua as time goes on.

hapo red/underlined text umenikumbusha mbaaaaaaaaaaali saaaaaaaaaaaaaana!

yeah - that is the law of diminishing return!
 
mi sioni tatizo la Jokate kutoka na almasi maana mapenzi hayachagui elimu, ila sasa pale pale anapotoeza mwenzio ndo na ww utoeze?
Halafu tena utovu wa adabu wa huyu mvulana wao ndo umenishangaz kabisa...
Ati watu wamsaidie kuchagua 'atoke na nani'...
 
AshaDii sasa huoni warembo wanaisifia hiyo 'regular'....lol jamani utoto raha nyie!

Hapana... Naona it more to do na reputation ya dogo....
Kwamba kama atoka na Star basi ataonekana wa maana saana.
I don't believe he si that good in the suck, wala haelekei...
Na it has nothing to do na udogo wake! hahaha....

Kheee!hapo kwenye red....unanikumbusha kule kwa wakubwa......anyway..nakuaminia sana tu

Alafu Zion D Jukwaa la wakubwa umenikimbia bana,
hujaeleza kero yako hata moja... Not fair! lol
 
hahahaa.regular indeed! kazi tunayo.

hahahaha.... I see you see what i see..... lol

hapo red/underlined text umenikumbusha mbaaaaaaaaaaali saaaaaaaaaaaaaana!

yeah - that is the law of diminishing return!

Baba_E, mind reminding me nami nifurahi.....lol

Fresh sana...Adi, niambie upo! Naona dogo Diamond anauonyesha Ushabab wake!

Ujue Joketi niilikuwa naomuona decent kwa awa mademu wa town...sasa tena kaangukia kwenye mikoni ya Diamond..

Kashindwa kutafuta mwanaume makini uko posta! Elimu yake ya chuo kikuu aijamsaidia kabisa!

Au ndio mapenzi upofu?

Dogo Jockate kaniboa .... Na what a appointment!! Mpaka nimetoka na Theory labda wana biffu hawa mabinti na kafanya hivo kumkomoa Wema.... Dah! Watoto wazuri vile chanaume chenyewe Diamond (Dogo D ukisoma hapa nisamehe, ila umeniboa!)
 
Hapana... Naona it more to do na reputation ya dogo....
Kwamba kama atoka na Star basi ataonekana wa maana saana.
I don't believe he si that good in the suck, wala haelekei...
Na it has nothing to do na udogo wake! hahaha....

Asha Di: Hapa niko pamoja na wewe!!!!
 
This woman is very stupid. Imagine someone's wife wriiting those words. Shame on you. In other words, she want to tell us that she has made love with only two people: diamond and his husband.

Hii story ya kwenye blog ya dubai inavyoonyesha ilitungwa na Diamond mwenyewe akaituma kwenye blog ya dubai kuwatega mabinti,si unajua blog ya dubai ni ya mabinti zaidi!
 
Fresh sana...Adi, niambie upo! Naona dogo Diamond anauonyesha Ushabab wake!

Ujue Joketi niilikuwa naomuona decent kwa awa mademu wa town...sasa tena kaangukia kwenye mikoni ya Diamond..

Kashindwa kutafuta mwanaume makini uko posta! Elimu yake ya chuo kikuu aijamsaidia kabisa!

Au ndio mapenzi upofu?

Hata mimi nashangaa alipokua na "mwenyekiti mtendaji" alitulia sana,lakini since mwenyekiti ajichanganye na yule mnyarwanda dogo naona kapoteza network mpaka anafakamia wauza mitumba!hii mbaya sana
 
Back
Top Bottom