Diamond anauliza ampende nani??

Waache warukeruke ila tu siku ya siku wasije wakaweka hizi herufi kwenye sentensi zao.....'ninge/ningali....'

Marehemu Mr.EBBO mmasai aliwahi kuimba "mtajirusha sana na mwisho mtaanguka" naipenda sana hii
 
Sioni baya lolote alilofanya Diamond. Hao wasichana natumaini ni watu wazima wenye akili zao timamu.

People should just lay off Diamond and let him be.
 
Genuinely... I wonder what they see in the kiddo....

kwa mujibu wa dada wa u-turn, just a king-size "weapon of mass destruction" and some tricks of how to put it into effective use...; na kama kweli hivyo ndo vigezo muhimu vya akina dada kutoa uroda, basi wengi wataliwa sana hapa mjini
 
Teh teh teh umeona eeh?
 
Ha ha ha yaani naona kama story za uzushi unajua yule jokate nilikua namwonna ndo staa aliyetulia na kujieshimu daah kwl elimu yake haijamsaidia hata kama ndo mapenzi upofu jaman inamana hata kama hujui kusoma hata picha huoni?magonjwa yote haya jaman xxxxdaah!kajishusha sana yaani ile nafasi niliyompa hapana tena naomba anisamehe sana cmchagulii who wa kua nae yy ni binti mkubwa ila kashemka bora angebaki na hashimu mara elfu kumi
 
Almasi bonge la mshamba yule dogo,inatakiwa akumbuke aliokotoka asiwe mshamba wa mambo.....
 
Almasi bonge la mshamba yule dogo,inatakiwa akumbuke aliokotoka asiwe mshamba wa mambo.....

Alivyo limbukeni hadi anatuuliza eti ampende nani? What kind of illiterate question is that?
Bongo Celebrities never cease to amaze me....
 
Back
Top Bottom