Diamond anashindwa kufanya Timing nzuri katika biashara zake

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
1,316
2,000
Ungesoma na kuelewa nilicho andika wala usinge nijibu huu utoto
Kwamba mimi sitaki kuwa Dai sio mmiliki?

Mnaakili za kitoto kuhamisha mijadala ionekane tunajadili kupinga Dai hana hela wala mafanikio....... hatupo huko

Hoja ilikua kwamba kwanini Dai anaanzisha biashara wakati Ingine zina suasua?

Akajibiwa jinsi nmna biashara zinavyo anzishwa

Sasa nyinyi mnachotaka kusikia ni kimoja tu “kampuni ni ya Dai” .......... that’s childish

Kanye west leo ni billionaire na hana kampuni ya kutengeneza viatu anatumia brand yake tu
Sasa kusema kwamba biashara moja ikisuasua basi usianzishe biashara nyingine mpya umeona ni hoja ya kujadili?
Biashara ngapi za bakharesa, Mo, Mengi walianzisha na zikafa? Walisimama kuanzisha nyingine?
 

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
4,797
2,000
Sasa kusema kwamba biashara moja ikisuasua basi usianzishe biashara nyingine mpya umeona ni hoja ya kujadili?
Biashara ngapi za bakharesa, Mo, Mengi walianzisha na zikafa? Walisimama kuanzisha nyingine?
Hayo ndio majibu ulitakiwa kumjibu mtoa hoja

Lakini wewe ukaanza kutujibu tunao mjibu kwasababu tu tumesema makampuni yanakimbili kufanya biaahara na wasafi kwasababu ya brand name
 

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
9,867
2,000
Screenshot_20211202-161244_Instagram.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom