Diamond anapokuwa demon

Diamond anapokuwa demon

Mapinduzi kwa kupitia maandamano yakifeli kutokana na umakini wa Vyombo, kifuatacho ni kuchanganyikiwa na kulaumiana. Ngoma ya Watoto haijawahi kukesha, na ukiona maji yametulia ujue yana kina kirefu.
Una akili kweli mkuu? Watu wanaongea kuhusu Diamond wewe unajisifu kuhusu ushindi wa kuua raia kwenye maandamano?
 
Una akili kweli mkuu? Watu wanaongea kuhusu Diamond wewe unajisifu kuhusu ushindi wa kuua raia kwenye maandamano?
Mkuu kwa diamond kwa mtazamo wangu sidhani hiyo movement itamuathiri financially kwa sababu diamond amefikia level hategemei tena mziki aendeshe maisha yake amefanya investment nyingi za kibiashara zinasomlipa sana sana hii movement itawaathiri wasanii wengine
 
Kwa diamond sidhani Kama ataathirika financially ni msanii ambaye ameshafika kwenye level ya kuwa hategemei Tena mziki aendeshe maisha yake labda kwa wasanii wengine

we chawa bana, twambie hizo biasahra zake anazoingiza mabilioni
 
Back
Top Bottom