Diamond akiwa ndani ya private jet akielekea Mwanza

angalia sasa watu walivo comfortable
 
Attachments

  • JKay.jpg
    JKay.jpg
    44.8 KB · Views: 249
umeelewa sana, kinachokusumbua ni ujuaji mwingi.

haya hongera kwa reply with quote. but kama ni auditor mzuri,

basi hizo hesabu tayari zitaleta mkanganyiko katika vitabu.

kaka kama umeshindwa kuelewa kitu kidogo kama hiki,

basi ukieleweshwa usijisikie vibaya!
 
sasa hapa unanielewesha nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom