Diamond Platnumz: Niliibiwa Tsh. Bilioni 4 niliyotaka kununulia ndege

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,114
49,840
Kama hii stori Ina ukweli basi mjini ni kiboko.

Imagine Diamond anatapeliwa Hadi kwenda kulilia Polisi, wewe mwenzangu utasalimika?

Ongezeni nyama basi maana naona kama sioni hivi, inaweza kuwa kamba maana Ukisikia mtu anaitwa msanii hapa Bongo ujue ni mpiga kamba 😆😆

=======

Baada ya kutua Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga leo Oktoba 29, staa wa bongoflava Diamond Platnumz amefunguka kuhusu ishu ya ndege yake binafsi (private jet) aliyotaka kununua.

"Ishu ya ndege yangu ina mambo kidogo, nilinunua jet nimelipa fedha nimetapeliwa, nilimpigia Waziri Mbarawa (Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa) alinisaidia, kaka yangu Hamza ( Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari) alinisaidia na sasa serikali nzima inanisaidia kupata haki yangu, nililipa fedha nyingi, kianzio zaidi ya bilioni ila niliowawatumia wananiletea ujanja ujanja," amesema Diamond Platnumz

Diamond amekuwa akitumia ndege binafsi katika safari zake za ndani na nje ya nchi.

Chanzo: Mwanaspoti
 
Kuna wajinga wataamini
Anatafuta attention huyu
Screenshot_20231029-183929.jpg
 
Staa wa Muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz ameweka wazi sababu ya ngege yake binafsi kutofika mapema na kusema aliibiwa Tsh. Bilioni 4 wakati anataka kununua na swala lipo serikalini.

Akipiga story na wanahabari staa huyo amesema; Zaidi ya Bilioni 4 nilipigwa changa la macho, wamenichelewesha lakini nilikuwa nimepanga mpaka mwaka huu niwe nasafiri na ndege yangu lakini wameniletea ujanja wakanipiga kama bilioni 4 ila kwenye serikali ya Tanzania huwezi kuleta ujanja ujanja."

1698643141450.jpg
 
Acha kuamini ujingaujinga....
 
View attachment 2797604
Angalia alivyo lazima aibiwe.Lakini pia aweke wazi namna alivyoibiwa.Ama ikiwa ni kwenye mtandao basi ndio basi tena.Wanigeria huwa hawarudishi kitu.
 
Back
Top Bottom