Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017 | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017

Discussion in 'Celebrities Forum' started by brave one, Jan 11, 2017.

 1. brave one

  brave one JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 3,245
  Likes Received: 3,690
  Trophy Points: 280
  Waziri Nape nauye amemkabidhi bendera ya Tanzania msanii Diamond platnumz ambae kesho anaondoka kwenda nchini Gabon kutumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano ya AFCON itayoanza weekend hii.

  Diamond na msanii maarufu Mohombi mwenye asili ya Congo wameshirikiana kutunga official song ya michuano ya Afcon2017 na watatumbuiza nyimbo hiyo kwa Mara ya kwanza siku ya ufunguzi Jumamosi.

  Diamond anaweka record ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Africa mashariki kutumbuiza kwenye michuano hiyo tangu ianzishwe.

  FB_IMG_1484134228277.jpg

  Habari hii imetumika ktk JamiiLeo
   
 2. m

  mahoza JF-Expert Member

  #61
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 1,242
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  Mkuu wewe mchokozi.
   
 3. lynne

  lynne JF-Expert Member

  #62
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 16, 2014
  Messages: 702
  Likes Received: 799
  Trophy Points: 180
  Kila la kheri diamond ukawanyooosheeeeee
   
 4. k

  kasamba12 JF-Expert Member

  #63
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 18, 2016
  Messages: 344
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 60
  Atakuwa anauza sura tu
   
 5. ZamdaIssa

  ZamdaIssa JF-Expert Member

  #64
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 10, 2015
  Messages: 772
  Likes Received: 1,181
  Trophy Points: 180
  Nasikia kutakuwa na Suprise Artist huko!!
  Tumeshajiandaa vya kutosha,sema sisi hatupendi showOff
   
 6. Activity Ratio

  Activity Ratio JF-Expert Member

  #65
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 9, 2016
  Messages: 559
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 180
  Mbadala wa taifa stars ni nasib . Ndio maana serikali haikaukagi ofisi za wcb.
   
 7. NEREA

  NEREA Senior Member

  #66
  Jan 12, 2017
  Joined: Feb 19, 2016
  Messages: 153
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
   
 8. NEREA

  NEREA Senior Member

  #67
  Jan 12, 2017
  Joined: Feb 19, 2016
  Messages: 153
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
   
 9. bahati30

  bahati30 JF-Expert Member

  #68
  Jan 12, 2017
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 923
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Kongozi kwani kuna shida gani akiwepo joti?
   
 10. saimon111

  saimon111 JF-Expert Member

  #69
  Jan 12, 2017
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,712
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Kiba atapewa uzinduzi wa kombe la dunia basi
   
 11. n

  ngajone JF-Expert Member

  #70
  Jan 12, 2017
  Joined: Jan 9, 2015
  Messages: 507
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 60
  Simba ndio mfalme Ndo mana wote wanajita Simba Diamond Simba na kule zenji Simba anaunguruma Mnyama Oyeeeeeee ondoa shaka mkuu
   
 12. b

  bestmale JF-Expert Member

  #71
  Jan 12, 2017
  Joined: Dec 6, 2015
  Messages: 1,134
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Ndio ameinunua
   
 13. bushland

  bushland JF-Expert Member

  #72
  Jan 12, 2017
  Joined: Mar 6, 2015
  Messages: 5,963
  Likes Received: 3,856
  Trophy Points: 280
  Hii thread Ina vijembe kuliko vya taarabu
   
 14. Inartia

  Inartia JF-Expert Member

  #73
  Jan 12, 2017
  Joined: Aug 24, 2016
  Messages: 1,141
  Likes Received: 1,095
  Trophy Points: 280
  Dah wewe ndo umeandika nini?
   
 15. Inartia

  Inartia JF-Expert Member

  #74
  Jan 12, 2017
  Joined: Aug 24, 2016
  Messages: 1,141
  Likes Received: 1,095
  Trophy Points: 280
  Hawachomozi apa, wataishia kuchungulia na kurudi kwa hasira
   
 16. Inartia

  Inartia JF-Expert Member

  #75
  Jan 12, 2017
  Joined: Aug 24, 2016
  Messages: 1,141
  Likes Received: 1,095
  Trophy Points: 280
  Ataanza kutumbwiza siku gani na saa ngapi wakuu nimuangalie kijana
   
 17. Inartia

  Inartia JF-Expert Member

  #76
  Jan 12, 2017
  Joined: Aug 24, 2016
  Messages: 1,141
  Likes Received: 1,095
  Trophy Points: 280
  Thubutu anatamani ardhi ipasuke aingie
   
 18. c

  compos Member

  #77
  Jan 12, 2017
  Joined: Feb 1, 2015
  Messages: 72
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Hongera diamond kapige show kali sana itakuongezea mileage
   
 19. w

  wise-comedian JF-Expert Member

  #78
  Jan 12, 2017
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,455
  Likes Received: 2,510
  Trophy Points: 280
  "Siwezi kutumbuiza kwenye show za uchochoroni,mimi ni mkubwa kuliko AFCON"- in kiba's voice
   
 20. Karne

  Karne JF-Expert Member

  #79
  Jan 12, 2017
  Joined: Jun 13, 2016
  Messages: 1,469
  Likes Received: 1,372
  Trophy Points: 280
  Si alisemwa humu kuwa atapotea kama Marlaw kisa kashiriki kampeni za uchaguzi.

  Kumbe bado yupo??
   
 21. m

  mwenyeKitu JF-Expert Member

  #80
  Jan 12, 2017
  Joined: Dec 28, 2015
  Messages: 958
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 180
  Chibu yuko poa...wabongo hawana kawaida ya kumpongeza mtu.

  Anafanya kazi nzuri. ...imefika wakati kusapoti kila kitu kwa maslahi ya taifa. ...

  Tusisibiri soka hata tukimpa sapoti Mondi ataitangaza nnchi pia.
   
Loading...