Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017 | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017

Discussion in 'Celebrities Forum' started by brave one, Jan 11, 2017.

 1. brave one

  brave one JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 3,205
  Likes Received: 3,594
  Trophy Points: 280
  Waziri Nape nauye amemkabidhi bendera ya Tanzania msanii Diamond platnumz ambae kesho anaondoka kwenda nchini Gabon kutumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano ya AFCON itayoanza weekend hii.

  Diamond na msanii maarufu Mohombi mwenye asili ya Congo wameshirikiana kutunga official song ya michuano ya Afcon2017 na watatumbuiza nyimbo hiyo kwa Mara ya kwanza siku ya ufunguzi Jumamosi.

  Diamond anaweka record ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Africa mashariki kutumbuiza kwenye michuano hiyo tangu ianzishwe.

  FB_IMG_1484134228277.jpg

  Habari hii imetumika ktk JamiiLeo
   
 2. t

  tinkibiruka mhaya JF-Expert Member

  #41
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 28, 2016
  Messages: 413
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Hahahahahhahah nimecheka kwa herufi kubwa
   
 3. samsun

  samsun JF-Expert Member

  #42
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 9, 2014
  Messages: 7,442
  Likes Received: 4,956
  Trophy Points: 280
  Wana swaga yao ya siku nyingi iliyokosa promota wanasema " DIAMOND NI MFANYABIASHARA WA MUZIKI SI MWANAMUZIKI" na watakutajia waliowahi kusema hivo, LAKINI CHA AJABU WAO WANAMUZIKI WANAISHIA MOMBASA KUFANYA SHOO,INA MAANA HATA MAPROMOTA WANAOWAITA WASANII KUFANYA SHOO HAWAWAONI WANAMUZIKI WANAMUONA MFANYABIASHA YA MUZIKI.
   
 4. mzaramo

  mzaramo JF-Expert Member

  #43
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 4, 2006
  Messages: 5,901
  Likes Received: 3,764
  Trophy Points: 280
  Oke Tumeona ila asifanye show mbovu kama aliyofanya wiki iliyopita kule Nigeria.
   
 5. data

  data JF-Expert Member

  #44
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 14,675
  Likes Received: 4,281
  Trophy Points: 280
  Safiii...
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #45
  Jan 11, 2017
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Hivi hawa wakina Jamal Malinzi hawaoni AIBU kuwa muda bote waliokaa hapo FAT hawajafanya kitu chochote cha maana zaidi ya kwenda kuhudhulia mikutano ya CAF??
   
 7. mahutu

  mahutu JF-Expert Member

  #46
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 1, 2016
  Messages: 625
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  Hiyo show sasa navomfahamu mond stejin hahhaaa hatar...sana
   
 8. mkwemwema

  mkwemwema JF-Expert Member

  #47
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 468
  Likes Received: 530
  Trophy Points: 180
  All the best Mr. Naseeb
   
 9. princess ariana

  princess ariana JF-Expert Member

  #48
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 19, 2016
  Messages: 3,208
  Likes Received: 4,151
  Trophy Points: 280
  hakuna namna
   
 10. mdundo ngoma sana

  mdundo ngoma sana JF-Expert Member

  #49
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 2, 2016
  Messages: 815
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 180
  Msaidie na mwenzako ali kiba umchukue kwenye safari bwana dangote
   
 11. chipolopolo 2

  chipolopolo 2 JF-Expert Member

  #50
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 10, 2014
  Messages: 3,015
  Likes Received: 1,430
  Trophy Points: 280
  Hongera sana diamond
   
 12. P

  PAGAN JF-Expert Member

  #51
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 19, 2014
  Messages: 4,751
  Likes Received: 4,918
  Trophy Points: 280
  Ali Kiba ashaimba na R Kelly
   
 13. w

  wanaumewaisaka JF-Expert Member

  #52
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 9, 2016
  Messages: 364
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Jameni tukumbukeni na sie hata huko mapinduzi kapu
   
 14. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #53
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 926
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 80
  Diamond watanzania wote tunakupenda sana.. Siku ukifa tutalia sana .
   
 15. princess ariana

  princess ariana JF-Expert Member

  #54
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 19, 2016
  Messages: 3,208
  Likes Received: 4,151
  Trophy Points: 280
  kwakweli.
  na tutaandika Diamond Day...
  Kama ilivo nyerere day
   
 16. pumzihaiuzwi

  pumzihaiuzwi JF-Expert Member

  #55
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 27, 2015
  Messages: 1,909
  Likes Received: 1,426
  Trophy Points: 280
  Ndo icon iliyo baki kuwakilisha Tanzania taifastars chalii
   
 17. P

  Poozy Member

  #56
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 22, 2016
  Messages: 20
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 5
  Huyu Diamond kuhusu issue za Africa naona imeshakuwa kawaida ninacho subiri ukurasa wa yeye na wanyamwezi ufunguke kwakuwa ameshamaliza Africa ahsante Chibu
   
 18. The bold

  The bold JF-Expert Member

  #57
  Jan 11, 2017
  Joined: May 7, 2013
  Messages: 5,466
  Likes Received: 14,867
  Trophy Points: 280
  Nifah, pita hapa mama'ngu utuamkie shikamoo..
   
 19. kedrick

  kedrick JF-Expert Member

  #58
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 25, 2015
  Messages: 3,311
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  Iconic Simbaaaaaaaaaaa
   
 20. kilalile

  kilalile JF-Expert Member

  #59
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 1,300
  Likes Received: 1,682
  Trophy Points: 280
  "Kuna vituvitu vya kushobokea, sio hivyo"
  in dimpoz voice
   
 21. jojoe35

  jojoe35 Senior Member

  #60
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 2, 2014
  Messages: 191
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Me naona show kua mbovu au nzuri ni jins ulivo egesha akili yako
   
Loading...