Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017

Discussion in 'Celebrities Forum' started by brave one, Jan 11, 2017.

 1. brave one

  brave one JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 2,568
  Likes Received: 2,181
  Trophy Points: 280
  Waziri Nape nauye amemkabidhi bendera ya Tanzania msanii Diamond platnumz ambae kesho anaondoka kwenda nchini Gabon kutumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano ya AFCON itayoanza weekend hii.

  Diamond na msanii maarufu Mohombi mwenye asili ya Congo wameshirikiana kutunga official song ya michuano ya Afcon2017 na watatumbuiza nyimbo hiyo kwa Mara ya kwanza siku ya ufunguzi Jumamosi.

  Diamond anaweka record ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Africa mashariki kutumbuiza kwenye michuano hiyo tangu ianzishwe.

  FB_IMG_1484134228277.jpg

  Habari hii imetumika ktk JamiiLeo
   
 2. Vuitton

  Vuitton Member

  #21
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 19, 2016
  Messages: 58
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 25
  Yoooo!!me nishapiga Adi za FIFA sema sipend showoff
   
 3. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #22
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 1,775
  Likes Received: 1,300
  Trophy Points: 280
  Congratulations Diamond.
   
 4. PROF NDUMILAKUWILI

  PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member

  #23
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 25, 2016
  Messages: 1,829
  Likes Received: 2,541
  Trophy Points: 280
  Hongera zake kijana!
   
 5. Curtis G

  Curtis G Member

  #24
  Jan 11, 2017
  Joined: May 4, 2015
  Messages: 36
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
   
 6. Z

  Zachayo Jackson New Member

  #25
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 23, 2016
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kira rakher na mungu akutangulie
   
 7. screpa

  screpa JF-Expert Member

  #26
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 10, 2015
  Messages: 3,127
  Likes Received: 3,138
  Trophy Points: 280
  Naskia Seven naye kaenda kulipa kisasi cha kuzima mic
   
 8. T

  Tmuller JF-Expert Member

  #27
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 380
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 80
  Siku hz namshabikia Mondi badala ya T.Stars..
   
 9. N

  Norton82 Member

  #28
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 3, 2016
  Messages: 97
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 25
  I'm wishing all the best to him!
   
 10. giftymkali

  giftymkali Member

  #29
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 29, 2016
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  duuuuuu
   
 11. dumesuruali

  dumesuruali Member

  #30
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 2, 2016
  Messages: 82
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 25
  All the best chibu...
   
 12. alifaa

  alifaa Member

  #31
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 25, 2016
  Messages: 38
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 25
  Labda ndo MC !
   
 13. Social maniac

  Social maniac Senior Member

  #32
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 8, 2016
  Messages: 127
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  so what does that has to do with "diamond na bendera"? au dstv ndo wadhamini wa michuano?
   
 14. F

  FAIZHAD JF-Expert Member

  #33
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 20, 2015
  Messages: 625
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 80
  Bendera ilitakiwa wakabidhiwe timu,,,it's so sad !!
   
 15. ngushi

  ngushi JF-Expert Member

  #34
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 8, 2016
  Messages: 2,035
  Likes Received: 1,849
  Trophy Points: 280
  kila la kheri icon wa tanzania
   
 16. samsun

  samsun JF-Expert Member

  #35
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 9, 2014
  Messages: 7,083
  Likes Received: 4,486
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wamevimba huko waliko wanatamani hiki kitu kiwe wanaota na wakiamka waone walikuwa ndotoni.ILA KUMBUKENI DIAMOND HUWA ANAWEKA REKODI,KISHA WENGINE WANAISHIA "KUIKARIBIA" SIO KUIFIKIA.
   
 17. Mr.Wenger

  Mr.Wenger JF-Expert Member

  #36
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 20, 2014
  Messages: 738
  Likes Received: 812
  Trophy Points: 180
  Watu wenye akili zao wamekaa wakaona huyo dogo anajua ndo maana wakampa shavu la kupafom lkn kuna viumbe hawajui chochote kuhusu mziki watakuambia jamaa hajui, mara hana sauti, sijui jukwaani mbovu yaani wanaongea ujinga ujinga tu ili mradi kuridhisha nafsi zao.
   
 18. Vuitton

  Vuitton Member

  #37
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 19, 2016
  Messages: 58
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 25
  Watoto wanamjua diamond na joti zaidi yA.................
   
 19. NgugiAchebe

  NgugiAchebe JF-Expert Member

  #38
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 11, 2016
  Messages: 588
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 80
  Alafu utasikia pimbi tu asiejua lolote anakwambia mondi ananunua wendawazimu wao wa
   
 20. Chiwaso

  Chiwaso JF-Expert Member

  #39
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 2,507
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Team Kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
   
 21. Chiwaso

  Chiwaso JF-Expert Member

  #40
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 2,507
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  alafu ate, ''oooooooooooooooooooo jamaa mjanja mjanja''. Fanyani na nyie ujanja ujanja mtusue.
   
Loading...