brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Waziri Nape nauye amemkabidhi bendera ya Tanzania msanii Diamond platnumz ambae kesho anaondoka kwenda nchini Gabon kutumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano ya AFCON itayoanza weekend hii.
Diamond na msanii maarufu Mohombi mwenye asili ya Congo wameshirikiana kutunga official song ya michuano ya Afcon2017 na watatumbuiza nyimbo hiyo kwa Mara ya kwanza siku ya ufunguzi Jumamosi.
Diamond anaweka record ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Africa mashariki kutumbuiza kwenye michuano hiyo tangu ianzishwe.
Habari hii imetumika ktk JamiiLeo