Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017

badala ya kuskitika mnashangilia? mashindano ya mpira wenzenu wanapeleka timu ninyi mnapeleka msanii na mnampa bendera ya Taifa ? hahaaa hii hutokea bongo tu!
 
Watu wenye akili zao wamekaa wakaona huyo dogo anajua ndo maana wakampa shavu la kupafom lkn kuna viumbe hawajui chochote kuhusu mziki watakuambia jamaa hajui, mara hana sauti, sijui jukwaani mbovu yaani wanaongea ujinga ujinga tu ili mradi kuridhisha nafsi zao.
Point mkuu mtu kama Nape ni muimbaji mzuri tu anajua nn anachofanya
 
Wadau mimi nauliza, je hii bendera itawekwa viwanja vyote pale Gabon sababu katumbuiza kwenye uzinduzi kama zinavyowekwa za timu shiriki? Labda aivae wakati anatumbuiza!
 
Back
Top Bottom