Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando Maarufu Baba Levo akieleza furaha yake Siku yake ya kwanza Bungeni ambapo leo Novemba 11. 2025 amekula kiapo rasmi kuanza kuwatumikia Wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini
Msanii Diamond Platnumz alihudhuria mkutano huo wa bunge ili kushuhudia Baba Levo akila kiapo, wengine wakiwa ni Mke wa Baba Levo pamoja na mtoto wake
Msanii Diamond Platnumz alihudhuria mkutano huo wa bunge ili kushuhudia Baba Levo akila kiapo, wengine wakiwa ni Mke wa Baba Levo pamoja na mtoto wake