Diamond agombee ubunge jimbo la Ubungo

Diamond agombee ubunge jimbo la Ubungo

Nadhan kweli vjana maadili yamewaishia had mnapendekeza kahaba aliyefia kwny ngono kisa mziki agombee jimbo tena UBUNGO mnawatusi wanajimbo hilo kwan alikosa kwao na hlo domo ndo aje kugombea

DAR aende kwao akawaongoze weu na wachawi wenzake huko! And lets thnk be4 poxtn' something online as it makes the poster look unwise and more than insane plus unsound employ your knowledge to judge on things guyz!EDIUS DEUS UDSM (LAW)

Kuna Watu Wana Akili Ndogo Kama Panzi,mtu Na Akili Zake Kabisa From No Where Anaibuka Na Kudai Eti Diamond Agombee Ubunge,jamani Itafika Mahali Hata Wauaji Nao Watapendekezwa Kugombea Ubunge,ukiandikwa Sana Magazetini Kwa Tabia Zako Chafu Ndo Unafaa Kuisimamia Serikali? Leo Hii Diamond Tayari Ana Political Charisma?

Nimeshasema Mara Nyingi Sana Kuwa Hakuna Mwanachama Wa CCM hata Mmoja Mwenye Akili Timamu Kabisa,hakuna Wewe Mtazame Faizafoxy Alivyo Foxy Ktk Kukoment,mtazame Msalani,ccm Ni Hivyo Kabisa,na Kweli Wanaweza Kumuweka Diamond Agombee Ubungo.
 
Raia wajiandae kwa mkong'oto wa haja huo mtaa.

Halafu kumbe mchumba tu!!!
Hawa jamaa wamepewa kichwa sana.wanaonea sana raia kisa ni wanajeshi.mbona kazi zote ni muhimu na tunategemeana kwa vingi.? Na hata ukienda kushitaki wanalindana na huna haki utayopata. Kwani wao wana nini zaid.? Ka
 
Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.

Ubungo kuna vijana wengi wa mitaani ambao Diamond ana uwezo mkubwa si tu wa kuwashawishi wampe kura lakini ana uwezo pia wa kuwasaidia vijana wengi kwa kuwa yeye mwenyewe katokea maisha ya mtaani hadi kufikia hapo alipo kung`ara kimataifa.

Na pia ni kijana aliyekomaa kimikakati ya kimaisha ni rahisi kufunza vijana wenzie.
Diamond-CCM hapiti. CCM Ubungo hata mkimsimamisha nani na M4C wakasimamisha jiwe lililoandikwa M4C watu watachagua jiwe.
 
Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.

Ubungo kuna vijana wengi wa mitaani ambao Diamond ana uwezo mkubwa si tu wa kuwashawishi wampe kura lakini ana uwezo pia wa kuwasaidia vijana wengi kwa kuwa yeye mwenyewe katokea maisha ya mtaani hadi kufikia hapo alipo kung`ara kimataifa.

Na pia ni kijana aliyekomaa kimikakati ya kimaisha ni rahisi kufunza vijana wenzie.

We nadhani zitakuwa hazikutoshi au ndo namna ya kupata kitu kidogo kwa diamond na zari..!?
 
hawezi kuwa mbunge kwa hata kutengeneza hoja itamsumbua tu aendelee kubadilisha wanawake tu.
 
Daah, mijitu mingine... Kwani ubungo tunaishi mapunguani kama diamond Au??? Upuuzi sana huu.
 
Mleta uzi nahic kuna kitu anakitak kw dada dai na ivi zali anakaribia kusepa ongeza jitihad utampat man wa uswaz yle hachagui pakutua...
Mawazo mgando pelek milembe
 
Tatizo kwetu mbagalaaaaaa,akagombeeeee mbagala patamfaaaa
 
Haya ya kuchagua mtu kwa sifa zake ndio yaliyofikisha nchi hii hapa ilipo.Sura au umaarufu wa mtu na utendaji wake ni vitu viwili tofauti kabisa.Mara nyingi namna pekee ya kuwa kibaraka,Kibarua,dalali,au manamba wa mtu ni kumvulia chu.pi baaasi.Sasa wewe kijana nenda kawe mke mwenza wa mal.aya zari.
 
Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.

Ubungo kuna vijana wengi wa mitaani ambao Diamond ana uwezo mkubwa si tu wa kuwashawishi wampe kura lakini ana uwezo pia wa kuwasaidia vijana wengi kwa kuwa yeye mwenyewe katokea maisha ya mtaani hadi kufikia hapo alipo kung`ara kimataifa.

Na pia ni kijana aliyekomaa kimikakati ya kimaisha ni rahisi kufunza vijana wenzie.

Kwa muziki wa kukopi kwenye computer ndio anaweza hata ubunge siyo?
Wabongo sasa sio wabongo tene mmekuwa ma boga tu yaani mtu kupoki na kupesti ndio kawakoshaaa
Bora hata kina Romario wana vipaji vya ukweli.
Yaani bongo akitokea zuzu fulani akawakonga kwa kitu kidogoo basi ndio kila leo magazetini na mitandaoni puuuuuuuuuu
Huyu hata ubalozi wa nyumba kumi hauwezi.:juggle:
 
na mie nitagombea uraisi wa temeke mwaka huu. manake daah:ballchain:
 
Labda akagombea huko monduli lile jimbo litakuwa wazi Lowasa akagombea uraisi wa TANAPA
 
Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.

Ubungo kuna vijana wengi wa mitaani ambao Diamond ana uwezo mkubwa si tu wa kuwashawishi wampe kura lakini ana uwezo pia wa kuwasaidia vijana wengi kwa kuwa yeye mwenyewe katokea maisha ya mtaani hadi kufikia hapo alipo kung`ara kimataifa.

Na pia ni kijana aliyekomaa kimikakati ya kimaisha ni rahisi kufunza vijana wenzie.

Unadhani Ubunge Ni Sawa Na Kukata Tu Mauno Na Kuwajambia Watu Jukwaani?
 
Back
Top Bottom